Recent content by Iliasa

  1. Iliasa

    DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

    Ya kisima imeshindikana sembuse bahari...?
  2. Iliasa

    Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    umeongea vyema sana nami niko hivyo
  3. Iliasa

    Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    sawa mkuu shida iliyopo nani ananunua huo mkojo..? au utawauzia google..? maana wakulima dawa zao wanazijua sjawahi kusikia kuna mkulima anapiga mkojo wa sungura anaacha hay madawa mengine
  4. Iliasa

    Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana kwa huyu Boss michai chai
  5. Iliasa

    Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    [emoji23] [emoji2] [emoji2] yaani mpaka nemeshangaa jinsi alivyokuwa
  6. Iliasa

    Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    pambana hakuna kukata tamaa wazo lako liweke ktk vitendo now
  7. Iliasa

    Kwanini vigogo wengi wanasiasa waliokuwa JF hatuwaoni tena?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hali imebadilika
  8. Iliasa

    Rais Magufuli, washawishi Waisraeli wachukue uraia wa Tanzania wote wanaotaka wapewe uraia ndani ya siku saba

    nimesoma mara mbili ckuielewa nashukuru sasa nimeelewa kumbe kijana wa kiongozi mkuu wa malaika mtuiufu..?
  9. Iliasa

    Acheni kuifananisha Morogoro na vitu vya kijinga

    hahaaa na bahari ipo bhana wenyewe wanaita bahari ya mindu
  10. Iliasa

    Najitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee

    tatizo hujasema umetokea wapi
  11. Iliasa

    Mkapa: Watasema nalalamika lakini na mimi ni raia nina haki

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] hatusemi kitu sie malofa...
  12. Iliasa

    Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] we ni hatari
  13. Iliasa

    Upinzani sasa wagawana majukumu ya uchonganishi

    kawaida jiwe haliwezi kuwa moja tu yapo mawe mengi
  14. Iliasa

    Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

    hahaaaaaaaa eti "MALAIKA MKUU MTUKUFU" nimecheka kama nimefurahi vile
  15. Iliasa

    Dharau za huyu Kada wa CHADEMA Mwanza sasa hazivumiliki tena, adhibitiwe na wahusika

    tatizo lipo hapi tu kuambiwa ukweli hamtaki maana majitu ya ccm wanajiona mungu watu hahaaa
Back
Top Bottom