Heshima mbele wadau,
Kama mjuavyo nimekuja kwa fuso la njegere hapa jijini juzi tuu, nikatokea hukoooo kijijini Madeke kwa wala Mbwa.
Back to the point ya msingi. Baada ya kushuka tuu nilikutana na hawa ndugu zetu walemavu. Barabarani wakiomba msaada kwa wasamaria wema wanaopita barabarani...
Heshima mbele wadai, masharti ya jumla yapo wazi kwenye tangazo.
Leo kwenye usajili wanakuja na jipya kuwa wanahitaji cheti cha awali cha mafunzo ya udereva.
Wengine magari wamejifunza nyumbani jamani. Ni vema mkizingatia vile vilivyo kwenye masharti ya jumla.
Cha ajabu wanao pigiwa simu na kuvunjiwa mikataba ni wanasheria. Je mimi nisie hata jua kanuni tuu. Haki ntaipataje? Mitaala ya elimu yetu ina matatizo bila shaka @LT USU WA MADOSO
Heshima mbele wadau,
Tafadhali mwenye kujua kanuni za PSPF kupata,
Malipo ya mkupuo.
Malipo ya mwezimwezi
Mfano mtumishi mshahara wake wa mwisho ni Tsh 850,000 na katumikia taifa kwa miezi 360 (Miaka 30). Anapata mahela mangapi kwa kutumia hizo kanuni.
Aksante.
Na wale wa ajira mpya na wakati walishakuwa na mikataba ikasitishwa itakuwaje kuhusu yafuatayo
i) Mishahara yao baada ya kusimamishwa.
ii) Nauli zao za kuwarudisha domicile place na kurudi kwenye vituo vyao vya kazi endapo watarudishwa kazini kumbuka (Mhusika pamoja na familia na mizigo yake)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.