IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Toka ukiwa mimba mtanzania ni RUSHWA mpaka kesho tuna virusi vya rushwa kwenye damu zetu ndg yangu.
huwezi amini mama yetu mpenzi hakuwa na hizo uliye akupe pipi tena unalia bila sababu na kama kuna sababu utanyamaza kwa kuelelezwa ukichukulia tulizaliwa mapacha 5 mara moja atampa pipi nani amwache nani na pacha walivyo wasumbufu utotoniSi kweli, lazima ulipokea rushwa ukiwa mtoto mdogo siku ulipolia mama akakutuliza kwa pipi, kitumbua au ziwa
mkuu kiukweli rushwa huwa napishana nayo ngoja nikupe mkasa mmoja uone km hushawishiki kutoa rushwa na nikapishana na rushwa hadi sasa mkuu napishana na rushwa na nina ICHUKIA KWA DHATI.Mkasa wenyewe utafuata hapo chiniHahaha. Nzuri pesa labda ukijua definition ya rushwa ndio unaweza kuelewa, general and simple definition ya rushwa ni kutoa/kupokea kitu mathalani pesa ili upate huduma au utoe huduma iliyopaswa kutolewa bure,
Sasa nambie kama wewe ni ke au me ulishawahi kupewa au kupokea hela ili umepe au akupe kitu flan amazing [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
mkuu sembeke mkasa ulikuwa hivi.Miaka11 iliyopita mwanangu alikuwa na tatizo la kuota nyama puani zikawa na umbo mfano wa mikia ya pweza kwa bahati mbaya kipindi hicho palikuwa na mgomo wa madakta takriban mikoa yote.nilikwenda hospital ya mkoa wa dom baada ya kuwa hapaeleweki nikatinga ofisi ya mganga mkuu mlangoni nilikutana na karani huyohuyo nikamueleza shida yangu akanisaidia kwa kuniandikia barua ya rufaa huyooo nikasafiri mkoani.nilipofika hapo nikapokelewa na kupewa kitanda.Siku ya 2asb akaja dkt akamkagua mtoto akamwandikia vipimo shuhul ilikuja huko kwenyw vipimo mhusika akataka kupewa 70 elf nikamwambia nikamwambia nakwenda kuchukua ipo wodin lengo nikanywe chai kwanza.basi wakat naondoka pale nilikutana na mgonjwa mwenzetu akauliza kilichojiri akasema njoo huku tukapelekwa ktk vipimo vyooote ct scan,xray,damu nk SIKUHONGA ILE 70.Baada ya hapo tukarud wodin.jion dkt yulewa1 akapita nae akaja na mbwembwe mtoto anatakiwa opareshen iliampange inatakiwa lk 3 nikauliza mtoto wa miaka 3.5 analipia huduma?jibu likawa utakaa sana nikampa moyo nikitumiwa takupa umpange.tukalala siku ya3 asubuh akapita dkt mwingine akauliza mtoto kaonwa nikamwambia alionwa ila vipimo havija kaguliwa akasogea akagua vpm na mtoto kisha asema ijumaa atafanyiwa upasuaji akatoa na maagizo Mtoto akatibiwa bure kwa mujibu wa sheria na SIKUHONGA LK3.Kwahiyo mkuu huo ni mkasa 1tu ipo mingi lakini kiukweli HONGO HUWA NAPISHANANAYO SITOI WALA SIPOKEI!!!