Nyie halafu tutofautishe...Nunez hajanunuliwa kwa £100....Kanunuliwa kwa €85+adds on €15...ambazo hizi zinalipwa kulingana na performance yake....hizo €85..ni sawa na £68.
By the way kama mnaangalia mpira vizur pre season hii huwezi mkosoa Nunez kisa hajafunga ...bnafsi nmeona ni mchezaji mzur...
Mchezaji wa million 100 wa nini...huo ni uogaaa....
Nitajie wachezaji wa million mia walio wahi leta impact kwenye team yao ....
Ukilinganisha na wachezaji wa milion 30,40&50...tunao nunua Liverpool...wanaokuja kua tishio...
Mfano ...jack glerish & Luis diaz.....
Uwezo wao uwanjani...huoni...
Kama historia ni rahis chukua CL hata mojaa kama unao uwezo...
Umekua team ya kuleta changamoto tuu lakin huna team ya kuchukua CL...ile inahitaji wazoefu...
Wewe na PSG ...hata mkutane na Aston villa final..vilaa ni mzoefu kuliko ww na atachukuaa.
Over.
Falsafa ya Liverpool wewe unaijua?....ni sawa hatulipi wachezaji mkwanja mrefu....ila tunawachezaji world class...ambao wanafanya Liverpool kua team inayoogopwa zaid duniani.....kuhusu makombe ww man city team ya juzi huwezi jilinganisha na Liverpool
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.