Recent content by iL Buono

  1. I

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    The Shawshank Redemption ya morgan freeman..(probably the best Movie of all time)
  2. I

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Daaah.. Umenikumbusha shule aisee.. to Add a few.. The Wizard of Oz.. Mary Poppins.. Saint Francis of Asisi...
  3. I

    Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?

    Mkuu Paskali maono yako hua nayakubali saaana.. I do believe that professor is Destined for Greatness...
  4. I

    Mambo yaliyotikisa siku nne za Bunge;

    Mkuu Wa Bunge wa Zanzibar wamekuja na nn tena? Hizi tarakimu nyengine nimewasikia kina bashe na serukamba.. kwa faida ya sote hapa jukwaani.. tupe updates za wenzetu toka upande wa pili wa jamhuri..
  5. I

    When u cant fulfill your dream just dream it

    Mkuu super.. Huyu Mzee kamfanyia nini jumbe? kwa faida ya sote hapa jukwaani.. Maana naskiaga saaana hii kitu lakn mpaka leo hii sijaielewaga?
  6. I

    Hazina toka kwa Marehemu mzee Aboud Jumbe Mwinyi

    Mkuu Rubawa.. Je Cha Kizungu pia nitakipata hapo? The Partnership: Tanganyika zanzibar Union : Thirty turbulent years
  7. I

    Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    Bila Ya kumsahau Fundi.. Allesandro delpiero na fabio grosso..(hawa ndo walowapa ushindi italy kombe la dunia 2006 wakishirikiana na Marco Matterazi.. Andrea pirlo na Fabio cannavaro
  8. I

    Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    Alvaro Recoba (dead ball specialist) Karel Porbosky Jaroslav Plasil Angelos Charisteas pedro Saviola Dario Silva(uruguay) Carlos Valderama(colombia)
  9. I

    Vyombo vya ulinzi na usalama visipuuze porojo za Maalim Seif(CUF)

    Mkuu Feberia... Yani umesema kweli tupu.. Lakn hili swala mm linaniumiza saaaana kichwa... Na nlishawahi Hata kuuliza humu.. kwamba Jumbe Alitaka serikali tatu.. Akasalitiwa... ss Je Wale Ambao walikua ni Faithful Wa jumbe na Walikua wanasympathize nae.. kwann wakati wanamlaumu huyo msaliti na...
  10. I

    Business ideas (Bure)

    Mimi Mkuu nikushauri tu kama una eneo japo la heka Moja hebu tafuta japo ngombe zako za maziwa japo 3 ambazo zitakupa an average y lita 60 kwa siku.. hapo hapo kazini kwako unapeleka hayo maziwa na kuyauza 2000 tshs per litre.. hio ni karibia 120,000 kwa siku.. kwa mwezi piga hesabu mwenywe...
  11. I

    Wazanzibari wanasubiri kwa hamu kutimia kauli hii ya Maalim Seif

    Mkuu chilubi na Wachangiaji wengine Humu ndani ya jukwaa hili... niwapongeze kwa dhati kwa michango yenu ambayo ni very informative na ni darasa tosha kwa cc tunao ona siasa za huko visiwani kuwa very interesting.. na kupitia michango hii huwa pia tunapata uwanja wa kusoma na kuuliza zaidi...
  12. I

    Wazanzibari wanasubiri kwa hamu kutimia kauli hii ya Maalim Seif

    Mkuu Habari za Jioni... Mm napenda saaana kusoma siasa za zanzibar.. Hua naziona very interesting... na kila ikiktokea nafasi hupenda kujifunza zaidi Hapo kwenye hio post yako umemention abt ccm zanzibar kutompa Maalim nchi ni nn hzo sababu za ccm zanzibar kufanya hvo.. kwa faida ya wote hapa...
  13. I

    Natafuta Ng'ombe wa maziwa

    this Is very informative.. Mm mwaka jana nlifanya research ya kutosha.. nlikwenda mafinga... ihema iringa... mpaka liti mpwawa.. nashukuru pia kwa hizi taarifa na mm ntazifanyia kazi.. thanks
  14. I

    Vipepeo weusi season 2: From Zurich with rules

    Mkuu... Kwanza pongezi za dhati nazituma kwako kwa muendelezo huu wa simulizi yetu maridadi... pili nasikitika saaana Notification zimetuangusha.. it has taken me a fortnight kujua kwamba season ya pili imekiwsha Anza.. lakn hakijaharibika kitu... Karibu Tena mkuu... IL Buono.. (The Good)
  15. I

    Maalim Seif: Ni afadhali nikae meza moja na CCM kuliko kukaa na Lipumba

    Mkuu...Umetoa Maelezo Ambayo ni very Fruitfull indeed...Nimeelimika vya kutosha.. lakn kabla sijatupa chini kalamu kaka naomba nifahamishe zaidi... Umemention khofu za kutotaka kummention jumbe kwa pande mbili za cuf Na Ccm Zanzibar.. ss je hawa ndugu zetu wa ccm zanzibar kukaa kimya kwa...
Back
Top Bottom