Recent content by ikomi lya pii

  1. ikomi lya pii

    Bwawa la Stiegler likijengwa, basi Rais wetu aendelee kama bonus!

    Story nisizopenda kuziskia...kila mtenda zuri anastahi bonus??
  2. ikomi lya pii

    Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia(CUF) ajivua uanachama na ubunge na kuhamia CCM

    Umalaya huu wa wana siasa sijui utaisha lini
  3. ikomi lya pii

    Dkt. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi

    Huyu jamaa tunaigiza nae,yupo nzagamba camp..chapombe hatari wakazi wa kisukuru maeneo ya paradise wanamfahamu
  4. ikomi lya pii

    Sema Ukweli: Jangili aliyekamatwa ndiye kakukimbiza CCM

    Mtaongea mengi...mahakama ya mafisadi imemfunga nani?
  5. ikomi lya pii

    Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

    Nimeanza kumjua miaka ya 1998 akitoka na Jafarai,tulikua tukimzomea anatoka na mtu mzima enzi hizo,sishangai nikisikia ana 50
  6. ikomi lya pii

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Naitwa ikomi lya pii,nge mweusi nna sumu hatari
  7. ikomi lya pii

    Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

    Napata coca bashite bariiidi Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
  8. ikomi lya pii

    Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Ni radha tu hakuna cha zaidi
Back
Top Bottom