Recent content by Ikimura

  1. Ikimura

    "Black Jesus"-2PAC LYRICS

    taken from"My Block (Remix)"
  2. Ikimura

    "Black Jesus"-2PAC LYRICS

    yo know why I love this song??? It depicts what is being preached and not being followed and to be honest I hate religion....Let me find some of the touching lyrics of Tupac about racism and share with you....
  3. Ikimura

    "Black Jesus"-2PAC LYRICS

    yo know why I love this song??? It depicts what is being preached and not being followed and to be honest I hate religion....Let me find some of the touching lyrics of Tupac about racism and share with you....
  4. Ikimura

    Star Times inaboa

    Mi nsha goma kitambo
  5. Ikimura

    "Black Jesus"-2PAC LYRICS

    Maneno makali ya vijana wa Ghetto walio kata tamaa na wachungaji na mashekh feki ambao wanashindwa kutatua matatizo ya kila siku ya kijamii kwa kuwapa vijana promise za kufaidi ahera
  6. Ikimura

    "Black Jesus"-2PAC LYRICS

    [2Pac] Searching for Black Jesus Oh yeah, sportin jewels and s**t, yaknahmean? (Black Jesus; you can be Christian Baptist, Jehovah Witness) Straight tatted up, no doubt, no doubt (Islamic, won't matter to me I'm a thug; thugs, we praise Black Jesus, all day) Young Kadafi in this bi**h, set it...
  7. Ikimura

    Immortal Technique - Internally Bleeding Lyrics

    [Verse] Yea... Yea... Ay yo The things I've seen in life will make you choke by suprise Like an aborted fetus in a jar that opened it's eyes Provoking my demise, I'll leave your spirit broken inside Like the feeling of 50 million people hoping you'd die And niggaz wonder why my heary is filled...
  8. Ikimura

    Mamlaka ya mawasiliano

    Sijakuelewa Mkuu
  9. Ikimura

    Msaada

    Habari wana jamii, mimi na mke wangu tuna kama miaka mitano tuko pamoja, ila kitu kinacho nitatiza nikuwa wakati tukitaka kufanya majambo...hasa kwenye foreplay huwa lubricant haitoki...what might be the problem???? Asanteni..
  10. Ikimura

    nimebakwa juzi

    Ndugu mwanaume huwa habakwi, bali kulawitiwa..kubaka kwa tafasiri ya kiswahili ni kitendo cha mwanaume kuingiza umme wake kwenye tupu ya mwanamke bila ridhaa yake...Napenda ufahamu kitu kimoja hapa, kama mwanamke hajaridhia unaweza kuingiza umme wako, na hii inatokea kwa sababu ya maumbile yake...
  11. Ikimura

    Mamlaka ya mawasiliano

    Kwa ukweli mimi kama Raia wa kawaida sijui hasa ni zipi kazi za mamlaka hii hasa linapo kuja swala la television, tulitangaziwa kwamba Tanzania kama nchi nyingine duniani kote, inaondoka kwenye mfumo wa analogia na kujiunga na mfumo wa digitali...sawa si vibaya...Ila sasa mbona hamtuambii...
  12. Ikimura

    Simu za mkononi kwa wanafunzi wa kike ngono made easy!

    Nashauri mafunzo ya matumizi sahihi ya simu ndio yatolewe sio kupiga marufuku maana hata wakipiga marufuku hawatofanikiwa. ni kweli lakini ukiangalia umri wao bado hawata yafuata hayo matumizi sahihi...mfano simu nyingi zina Internet ambayo ingeweza kuwasaidia kupata material ya masomo yao...
  13. Ikimura

    Arusha yarindima kwa risasi! Jambazi laua polisi

    Ni bora uje na habari kamili kwasababu hii haijakamilika, inakuaje Jambazi lipige risasi juu afu polisi afe au huyo polisi alikuwa ana ugonjwa wa moyo???
  14. Ikimura

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    JK-ukitaka kula lazima uliwe
  15. Ikimura

    Amwokoa Mkewe na kuacha watoto

    hilo ndio neno la msingi
Back
Top Bottom