Recent content by ikigijo

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Uko sahihi sanaaa. Haswa Mrengo baada ya Uhuru! sisi Tz tulikuwa Communist ujamaa na kujitegemea,wakati Kenya Capitalism! Kuna Network kubwa sanaa kati ya wazungu na Kenya! ndio Maana hata juzi HQs nyingibza UN zimehamia Nairobi!
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tamaa ya Ngono, Adui Mkubwa wa Mwanadamu

    Mkuu ni kwanini Madam B anakupe da Mnoooo nini Unampa???🙌😀😩 Nileenda na Hela zangu kanipiga chini😩
  3. I

    JamiiForums Tanzania Pombe: Sumu inayoua zaidi kuliko vita na gonjwa lolote, lakini tunaiita burudani

    Hapa Wine haihusiki kaka😜😜
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kubwa gani la maadui ulimkubali kwenye Muvi za miaka ya 80-90

    Huyu Mwamba Mathias hues No re treat no surrender na nyinginezo daaa🤣🤣🔥💪
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii za kiAsia zinaonekana kufanya vyema kwenye akili mnemba( AI) na Semiconductors

    Naumia sanaa kuona watu hawafahalu maana ya AI wanajua tuu AI ni ChatGPT au picha ya Mtu? AI inafanya kazi zifuatazo: AI is a set of technologies that allow computer to perform different task. eg Upasuaji,Kusahisha,Kutengeneza Magari,nk
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yohana hakuona giza wakati alikua shahidi muhimu wa tukio au hi Hadith ilitungwa na Marko?

    Unajua Mkuu uko sahihi lakini, Suala la Imani ndio tatizo,Pamoja na wewe kuelezea kiini cha YESU kuja Duniani kuna watu tena wengi hawaamini hilo, ndio maana kuna Wakati hata Mitume wao mmoja baada ya Kifo cha YESU akasema “Hakika” huyu ni Mwana wa MUNGU….Means kutanda kwa Giza mchana au Ishara...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Lissu asipelekwe Mahakamani na badala yake kesi iendeshwe kwa Njia ya mtandao

    daa umeongea kwa Uchungu sznaaa aiseee…😀😩 Lakini Huku mwenzako huwa anabubujikwa na Machozi ya Furaha???
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Tamisemi ingilieni kati baadhi ya shule zimegoma kutoa likizo ndefu kwa mujibu wa ratiba ya Wizara ya Elimu

    Mkuu huna Haja ya Kutaja jina la shule, ni shule nyingi kama sio zote zinafanya hivyo ili watoto wafaulu daaaa😩😩😎
  9. I

    JamiiForums Tanzania Naumia na kuteseka sana moyo wangu mpaka natokwa na machozi nikiona mtu anamtukana Au kumdhalilisha na kumvunjia Heshima Rais Samia

    Naomba umwambie Aheshimu Kazi za Watu Mkuu😜😩💪✅
  10. I

    JamiiForums Tanzania Shangazi yupo hijja.

    Poti wangu Pascal Mayalla Ulishamkubalia Ombi lake? hata kama ni mdogo kwakoFaizaFixy
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kwenu mnaotaka kusoma degree nje ya nchi kwa malengo ya kuajiriwa Tanzania, Kama chuo hakina umaarufu ni bora usome hapa hapa, Utateseka !

    Mkuu upo sahihi sanaaa, mi nataka nikasome Newcastle university au portsmouth university Uk unanishaurije Kaka? Bsc.Engineering!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Makosa gani ambayo Mungu hawezi kusamehe

    Lakini Ukifanya haya baadae ukafanya Toba ya Kweli na Kuachana nayo Nadhani MUNGU anasamehe!
  13. I

    JamiiForums Tanzania Msemo wa Ukubwa ni Dawa Umedhihirika Kwa Matokeo ya Simba vs Berkane,Mbeleko Kwa Mkubwa.

    Mkuu nakubaliana na wewe 100%, lakini nauliza kwanini wamebadilisha Uwanja to Amaan zanzibar?
Back
Top Bottom