well said mkuu...
mimi mzee wangu anatumia miwani kusomea so akikuangalia either akuangalie kwa kushusha kidogo au atoe kabisa miwani. so sio dharau kama inavosemekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa?
kutoka Dar es salam
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza kabisa pole mzee baba... ila kwa hatua iliofikia hakuna namna zaidi ya kuwa mpole tu na kusubiria mkeo acheki upt na majibu yanaseamaje? kama yakiwa positive basi mtoto wa sasa aendelee kunyonya mpk mama atakapooana inafaa. na atumie maziwa ya formula basi... ila ni jambo ambalo linaweza...
nimekuwa mfatiliaji wa hicho kipindi na kweli kinafurahisha hasa wanaume wakianza kuongea pumba wakiongozwa na KP so anachokifanya B5abra ni kama kuwarudisha tu kwenye mstar sio kama anawafokea. just ina way mpk msikilizaji unatabasamu
Sent using Jamii Forums mobile app
nawaza tu hapa maana hiyo procedure inafanyika theatre.. kuna mtu wa usingizi. kuna scrub nurse. kuna runner na kuna dr so not less than 4 people....
sioni hio posibility hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.