Kwanini Wanaume wanaotangaza kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM wanaruhusu kufokewa na watangazaji wenzao Wanawake?

Ni wakuja? Kuna mtu ana hodhi kipindi pale? Kipindi ni cha taasisi yeye ni mtangazaji kama walivyo wengine

Nikukumbushe tu mkuu kabla ya 2008 ile show ilikuwa ikiendeshwa na main hosts wawili Masud Kipanya na Phina Mango wakisaidiwa na Barbra Hassan pamoja na Gelard Hando
Afu kumbuka huyo mwanadada ndo mweny kipindi hao wote ni wakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekuwa mfatiliaji wa hicho kipindi na kweli kinafurahisha hasa wanaume wakianza kuongea pumba wakiongozwa na KP so anachokifanya B5abra ni kama kuwarudisha tu kwenye mstar sio kama anawafokea. just ina way mpk msikilizaji unatabasamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyo kuprovoke nilitaka kujua hiyo UQ kubwa uliyonayo........ kizuri ni kwamba umekuja mulemule na kudhihirisha ufinyu wa akili

Kwa akili yako hiyo unadhani utaifikia hata robo ya akili ya Masud Kipanya? Jinga kabisa wewe
Ndo mana una akili ndogo basi unahisi kila mtu kilaza kama wewe....

Janaume zima linakaa linaskiliza vipindi vya umbea umbea kwenye radio.

Next time wanakuomba boga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua nasikiliza kipindi cha Power Breakfast cha Clouds, kipindi kina mengi mazuri na hongera kwao kwa hayo japo pia kuna dosari kadhaa kama kujikweza, kusimulia matangazo, umuch know mwingi nk haya nitayaongelea sku nyingine leo ningependa kuongelea tabia ya hawa kina Kp, Siza, na yule kijana mwingine (jina limenitoka)

Hawa jamaa hua wanafokewa sana na mwanadada Babra Hassan kufikia hatua inabore kwa kweli, yani mianaume inafokewa limitlessly mara nyingine wanatukanwa ila ipo tu inakenua hata kuchukua hatua za kuzuia au kukemea tabia ya mwanadada huyu anaeonekana kiburi hapana.

Yaani fikiria ni kama ukipita mahali afu ukute janaume linafokewa na mwanamke hadharani nalo lipo lipo tu hua inanibore sana na mwanadada huyu hua wala hana sababu ya msingi ya kuwafokea ukizingatia majamaa ndo hua wachambuzi wakuu wa mijadala ila dada huyu anawafokea na kuwadhalilisha atakavyo tena wazi wazi na matusi juu.

Kuna siku alianza kuwafokea ovyo na hata kuwazimia mic na kuwafukuza kisa walikua na mawazo tofauti kuhusu "mikoba na viatu vya wanawake" na mwanadada huonekana kuenjoy zaidi kuwafokea wanaume hawa kuliko hata kujadili maudhui tofauti ya kipindi.

Hichi kitendo hua kinanikera sana na tukichukua picha ya wanaume hawa ndo awe mume wa aina hiyo kwakweli familia hiyo mitoto itakua mijinga jinga iliyozoea kuona mama anamfokea baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ubunifu wao mkuu usichukulie ukwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom