usafir kwenda Arusha.

usafir kwenda Arusha.

Amani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa?
kutoka Dar es salam
Sent using Jamii Forums mobile app

Kama vipi panda magari ya magazeti saa 4 pale Oil com Ubungo🙄
 
Back
Top Bottom