Recent content by ikerege

  1. I

    Maeneo ya Dar es Salaam kukosa umeme Oktoba 24 & 25, 2022, TANESCO yasema kuna maboresho ya mitambo

    Leo mnamo majira ya saa 11/40 alfajiri umeme umakatika maeneo mengiya TBT sijui maeneo mengine, naona sasa imekua rasmi ,ila haya hatukuyaona enzi za mwamba yule. hatukatai matengenezo ila sasa too much.huko uswazi tunategemema sana huu umeme kama siku nzima hufanyi kazi unategemea nini?
  2. I

    Waziri Mwigulu: Serikali kutoza Tsh. 10-200 kwa siku tozo ya laini moja

    kwanini isiwe buku tu ?200 ndogo sana.
  3. I

    Kwa hili la Inyala, Mbeya ninampinga Makamu wa Rais Dr. Mpango kwa agizo lake "quick fix" na kumsihi awe serious na maisha ya Watanzania

    VP kila uchao analishwa matango pori tu, tuwaache wataalamu waje na suluhisho hilo eneo hata mtu wa kawaida tu anaweza kuja na solution, barabara ni mbovu sana na nyembamba.
  4. I

    DOKEZO Maji ya kuoshea maiti yanayo lalamikiwa kutumika kuhifadhia samaki yanauzwa kwenye maduka ya dawa za asili, Serikali imulike huko

    Napingana na VP hiki kitu sio kweli,samaki wa mwanza wanaliwa hata nje ya mwanza, hapa dar tunakula sana sato mbona hatuna saratani? VP unalishwa matango pori waambie wafanye utafiti tena, hivi jinsi fomalini invotoa harufu ungeweza kula samaki kweli?hebu tuwe wakweli wagonjwa wengi pale ORCI...
  5. I

    Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

    OVYOOOO
  6. I

    Kwenu LATRA na Serikali ya Mkoa

    Sijapata comment ya maana kumbe na nyinyi waluwalu tu, nataka LATRA watujibu kwanini wasitoe vibali bus kubwa kama NEWFORCE zianze ratiba ya mchana ?mbona ilikuepo tunduma saa 5 asubuhi,?
  7. I

    Kwenu LATRA na Serikali ya Mkoa

    Juzi nikua mkoani Mbeya na Tunduma katika safari zangu ila kwa nilichoshuhudia ni mateso sana, sijui tatizo nini. Sikuweza kupata usafiri wa saa 12 alfajiri kwahiyo nikaja Uyole kuvizia usafiri wowote. Jamani, tulipandishwa bus aina ya fuso ambalo lilituacha Makambako! Mpaka tunafika Dar...
  8. I

    Mwenye kujua utaratibu wa kujiunga JKT anijuze

    sawa mkuu nashukuru kwa taarifa kwa hio ni kwa mtendaji na DC
  9. I

    Mwenye kujua utaratibu wa kujiunga JKT anijuze

    Habari wana jamvi, Jana nimesikia kuwa JKT wanapokea vijana wakujitolea sasa nina kijana naka aende huko. Je, utaratibu ukoje kwa mwenye taarifa kamili naomba tafadhdli.
  10. I

    Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    Habari zenu, nataka nunua nissan dualis ila sijajua changaoto zake,kama kuna mwenye taarifa zaidi na kijua hii gari atiririke hapa.
  11. I

    Badala ya kuwaondoa trafiki wanatakiwa waongezwe na kuwaongezea mafunzo

    Hao jamaa ni kero sana tunatiana hofu hasa tuapo safarini, hata mjini siku askari wa bank akiona gari tu anakuja anataka kukagua km si kukupa kosa, Nashauri zifungwe kamera maeneo ya zebra na speed limit.
  12. I

    Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    Jamani T nzuri ila ndo hivo mimi nilipewa majuzi kesho yke mtu hakuamka kunauma hataree sirudiii tena.
Back
Top Bottom