Recent content by ikashi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    Ameongezea hapo risasi akaridhika. Ana akili
  2. I

    JamiiForums Tanzania UVCCM watoa onyo kwa waandamanaji. Wadai kusaidia Polisi kulinda amani

    Hongera kwa kujifunza kutoa povu lisilokuhusu. Jiombee busara. Nakushauri uanze kwenda msikitini au kanisani kuomba busara.
  3. I

    JamiiForums Tanzania UVCCM watoa onyo kwa waandamanaji. Wadai kusaidia Polisi kulinda amani

    Haya ni maandamano ya watu wasiojulikana yatakayoanzia instagram na kuishia facebook. Hebu watanzania tumwombe Mungu atupe busara na hekima apitishe mbali huu uchuro
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

    Unajidanganya. Umeomba maoni na watu wametoa maoni yao. Sasa wewe unajitangazia ushindi pasipokuwa na mashindano. Unatisha kwa aina hiyo ya IQ uliyonayo.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

    Hongera kwa kuujua tatizo la mfumo wangu wa elimu ulivyoathiri IQ yangu lakini nitaendelea kuamini umeshindwa kunielews kwa kuwa mimi siyo mtu wa maneno mengi kwenye jambo dogo.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

    Hakuna mahali amesema aliamua kuzaa na Ray ili waoane au alikuwa anatafuta mtoto kwa ray wakati alipokubali kufanya tendo la ndoa. Hivyo waachwe wahandle hiyo situation kama wanavyoona inafaa. Usihukumu.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata wawili kwa mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA. Kamanda Mambosasa akataza maandamano ya mitandaoni

    Wakuu nisaidieni kuna tofauti gani kati ya maandamano na kuzurura? Maana wote mnatumia barabara na mwisho wa siku mnarudi nyumbani mikono mitupu na viungo vilivyochoka. Naombeni mnisaidie maana mkinishawishi naweza kesho nikaanza kuandamana peke yangu alfajiri mpaka nitakapojisikia nimechoka.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi nao ni binadamu

    Suala hapa si nani kafyatua risasi. Suala ni roho mbaya kiasi gani kwa binadamu kufanya kitendo kinachosababisha mauti kwa mtu asiyekuwa na hatia. Hii roho ya kutaka kuua kwa jambo ambalo halina mashiko ni aibu au ni woga uliovuka mpaka. Kwa nini Watz tusijifunze kwa wenzetu wa kenya. Hivi ni...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere atakuwa Baba wa Taifa la Tanzania milele?

    Yaarabi akupunguzie jazba akujaalie moyo wa uvumilivu na hekma upate kukubali kuwa Julius Kambarage Nyerere Mtoto wa chief Burito atabaki na ataendelea kuwa BABA WA TAIFA LETU MIMI NA WEWE.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Arabs they never colonized east africa instead european countries did.

    Damu mchangayiko Oman unawaita waafrika na hiyo damu ya kiàrabu inaonekana wapi? Nasikia huko zanzibar kuna nguzo ya jengo yenye vichwa vya watu wale wenye nywele za kipilipili. Nimesema nasikia sijashuhudia.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wale wanaokula wake za watu, piteni hapa mpate funzo

    Wanawake mlioolewa au wasichana mlio na wapenzi msikubali kuchepuka. Oneni madhila mnayowapa hao mnaochepuka nao. Hata kama mwanamke umetongozwa kataa na hakuna haja ya kumwambia mumeo kwani ukikataa unakuwa umekata mzizi wa fitna.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Video iliyomfanya Mange Kimambi amuumbue Wastara alipokuwa akiomba msaada wa Matibabu ya Mguu

    Wastara ni binadamu na ana hisia. Inawezekana alijitonesha wakati anacheza.Ana haki ya kuomba msaada na waliomsaidia wamefanya jambo jema. Sisi ambao hatukumsaidia tuendelee na mambo yetu kama kawaida yetu.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kusaga, Ruge, na TCRA, Tusikubali Udhalilishaji Huu wa Shilawadu!. JPM Anaangalia!.

    Watu hawaogopi kuangamiza familia zao kwa ukimwi na kuwatesa wapendwa wao kisa tamaa zao za mwili. Tupende kuwa na clean privacy.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ukweni wanataka kunipangia tarehe ya kuoa wao ya kwangu wameikataa wakati nishawaambia wazazi wangu

    Nakubaliana na wewe mkuu .wazazi wangekuwepo mikwara hiyo isingetokea
Back
Top Bottom