Recent content by IJUE BIBLIA

  1. I

    Ajali Mbinga-Ruvuma: Gari lapata ajali na kuua Padre mmoja na Makatekista sita

    Mungu mwema awarehemu wapendwa wetu. Nitawakumbuka daima, paroko wangu Kawonga wakati huo, na wanafunzi wetu wa Ukatekista.
  2. I

    Papa Francis amesema kuwa hajawahi kutazama runinga kwa miaka 25.

    Papa Francis in mtawa wa Shirika la Majesuits (SJ). SIYO MFRANCISCAN
  3. I

    Kutana na Padre Pekupeku na Sir mwenye miujiza

    Nimeipenda hiyo. Ukifeli ada back to you. Salsa Mungu akupe nini??????
  4. I

    Kala Pina kugombea Ubunge Kinondoni

    Msanii maarufu wa muziki wa kufoka foka (hiphop) anasema baada ya kumzingua na kumletea uzinguzi katika nafasi ya udiwani aliyoigombea uchaguzi uliopita, sasa amejipanga vema katika idara zote ili kulinyakua jimbo la Kinondoni na kuwapigania wanyonge wa Kinondoni wanaoliwa vya kwao na wachache...
  5. I

    UDOM: Mwakibinga hana kosa, wanafuzi wagoma kuingia darasani mpaka wamuachie huru

    Mwendo huo huo kamanda. Kwa ujasiri, uchungu na uzalendo wako ulio nao kwa usanii wa watawala wetu kuturudisha nyuma kimaendeleo, tunakukaribisha hapa kwetu Lupa kwa kusaidia ukombozi wa jimbo hili. Maana si unajua namna bwana Victor alivyolifisadi???? UKIANZA NA MUNGU MALIZA NA MUNGU KIJANA, NA...
  6. I

    Rais wangu Kikwete na siku tatu za Waziri S. Muhongo

    Jamani! Huyu mzee nadhani bado tezi dune inamsumbua. Tutawapiga chini wote majuha hawa! Oktoba mbona karibu sana!!!!
  7. I

    Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    Yaani hii nchi bana. Anyway, hata hivyo vijana wetu tumewaelewa. Watawala wamewaelewa. Sisi tutawasaidia vijana hawa kufikisha kilio hicho pale April 30 na oktoba mwaka huu huu!!!!!!!!!!!!!
  8. I

    Machemli Aibwaga Serikali Kortini

    big up kamanda. sasa dai fidia mpaka wakomeeee!
  9. I

    Timbwili Lahamia Kanisani Moravian Kinondoni-Ibada Yashindwa Kuendelea

    Hayo makanisa wawaachie wenye nayo hao akina Mwakalile, Mwaka......, nk. Maana matunda yake ndo hayo!
  10. I

    BAVICHA TAIFA Yatoa Onyo na Tamko Kali!

    Na tutasikia mengi tu kutoka Intarahamwe! Tutegemee watakaojiudhuru uhai kama yule kibwetere wa Malawi! Watakaoingia msituni kama yule Bwana kitumbo au tumbo-mziki wa Mbinga na wengine na mengine mengi ya kuuchekesha ulimwengu huu ili uongeze life span au life expectancy!!
  11. I

    JWTZ Imechoshwa kupiga mizinga 21 Dar na Zanzibar

    Wanaotusingizia kuwa sisi tumewatuma S2 wakome kabisa! Maana wao si tume ya Mabadiliko ya Katiba mpaka tuwatume sisi. Sisi wananchi tumeituma Tume, ndiyo hiyo imetuwasilishia maoni yetu vyema! SASA kama wataedelea jeshi liwapige risasi 21 kila mmoja, maana tumechoka! WAPIGWE TU! Ala!!!! watu...
Back
Top Bottom