JWTZ Imechoshwa kupiga mizinga 21 Dar na Zanzibar

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,921
31,161
Kwa mujibu wa aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya katiba Mheshimiwa Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba wanajeshi waliokuwa wakitoa maoni yao mbele ya tume walilalamika kitendo cha kupiga mizinga 21 kwa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar.

Itifaki kiongozi anayestahili kupigiwa mizinga 21 ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.Hii ni kuonyesha utii kwa Amiri jeshi mkuu ambaye ni mmoja katika nchi moja lakini kutokana na siasa za mizengwe Tanzania Rais wa Zanzibar anapigiwa mizinga 21 hii maana yake sasa Tanzania ina wakuu wa nchi wawili !!!!!.Bado kuna mijitu kule Dodoma ianshupalia serekali mbili mingine iko tayari kuingia msituni.

Naomba kuwakilisha.
 
Hawajui walitendalo..!!
 
Achana na maneno ya warioba subiri usikie kutoka kwa jeshi lenyewe hizi porojo za warioba hazina nafasi kabisa tunajenga taifa letu.
 
Mkuu mwa 4 umewakusikia au kuona nchi moja ina amiri jeshi wakuu wawili.

Achana na maneno ya warioba subiri usikie kutoka kwa jeshi lenyewe hizi porojo za warioba hazina nafasi kabisa tunajenga taifa letu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya katiba Mheshimiwa Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba wanajeshi waliokuwa wakitoa maoni yao mbele ya tume walilalamika kitendo cha kupiga mizinga 21 kwa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar.

Itifaki kiongozi anayestahili kupigiwa mizinga 21 ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.Hii ni kuonyesha utii kwa Amiri jeshi mkuu ambaye ni mmoja katika nchi moja lakini kutokana na siasa za mizengwe Tanzania Rais wa Zanzibar anapigiwa mizinga 21 hii maana yake sasa Tanzania ina wakuu wa nchi wawili !!!!!.Bado kuna mijitu kule Dodoma ianshupalia serekali mbili mingine iko tayari kuingia msituni.

Naomba kuwakilisha.
Zanzibar ni nchi, napendekeza Zanzibar rais wake aendelee na mizinga yake 21,
Rais wa Muungani ndo Amiri jeshi mkuu apigiwe mizinga 30.
Ikija Tanganyika yenye watu zaidi ya Zanzibar ipigiwe mizinga 25!!!!!
Kwani baruti si ipo?
 
nani anawalipa mishahara? nani anagharamia hiyo mizinga kama wamechoka waache kazi
 
Wanaotusingizia kuwa sisi tumewatuma S2 wakome kabisa! Maana wao si tume ya Mabadiliko ya Katiba mpaka tuwatume sisi. Sisi wananchi tumeituma Tume, ndiyo hiyo imetuwasilishia maoni yetu vyema! SASA kama wataedelea jeshi liwapige risasi 21 kila mmoja, maana tumechoka! WAPIGWE TU! Ala!!!! watu gani hawa wanaopinga hata sauti ya Mungu?
 
Zanzibar ni nchi, napendekeza Zanzibar rais wake aendelee na mizinga yake 21,
Rais wa Muungani ndo Amiri jeshi mkuu apigiwe mizinga 30.
Ikija Tanganyika yenye watu zaidi ya Zanzibar ipigiwe mizinga 25!!!!!
Kwani baruti si ipo?
Zanzibar wapigiwe Baruti 10

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kuna msemo wao unaosema Rais wa Tanzania atakaa na kushauriana na rais wa Zanzibar.
Kwa maana hiyo hawa wote kwa pamoja ndio wanaunda amiri jeshi mkuu baada ya kukaa na kushauriana.
Kikwete nguvu yake ni Tanzania bara na Shein nguvu yake ni Tanzania visiwani.
 
Achana na maneno ya warioba subiri usikie kutoka kwa jeshi lenyewe hizi porojo za warioba hazina nafasi kabisa tunajenga taifa letu.

Mkuu hao wanajeshi ndio waliosema na si maneno ya Warioba, mbona Warioba amekuwa mwiba mchungu sana kwa CCM, si M/Kiti ndio alimteua na wakawa wanakutana kila baada ya muda fulani huko ikulu kumpa mrejesho wa kila wanapofikia, leo nini kimetokea Lumumba..................au ndio munaogopa ZANZIBAR itakuwa na dini yake?
 
Katika watu ambao wameipotezea mwelekeo CCM basi JK ndio kinara. Kwanza karuhusu Zanzibar watengeneze katiba yao yenye kuifanya nchi kamili kisha kawarudia CCM nakuwaambia wakomae na serikali mbili zenye marais kamili wawili na wao kama mazuzu wanakomaa tu bila kujiuliza.
jana nimemsikia Raza akisema hata kama Rais wa muungano anawatu milioni 45 na wa Zanzibar ana watu milioni moja na nusu lazima wote wapewe hadhi sawa na heshima sawa maana wote ni marais. Mpaka hapo CCM Tanganyika bado hawaelewi tu kuwa hakuna muungano, wao wamebaki na vijembe tuu kwa UKAWA ambao kimsingi wale ndio wenye hoja thabiti.
 
Mkuu hao wanajeshi ndio waliosema na si maneno ya Warioba, mbona Warioba amekuwa mwiba mchungu sana kwa CCM, si M/Kiti ndio alimteua na wakawa wanakutana kila baada ya muda fulani huko ikulu kumpa mrejesho wa kila wanapofikia, leo nini kimetokea Lumumba..................au ndio munaogopa ZANZIBAR itakuwa na dini yake?
basi watakua wajinga sana,yaani kubonyeza kifyatulio tu wanachoka?.

Waryoba kwa porojo hajambo.
 
Ha ha ha ha ......Mkuu umefanya nicheke japo bado nabaki napingana na munaomkejeli Jaji.........Siku njema kiongozi
 
Zanzibar ni nchi Tanganyika si nchi.

Zanzibar ni nchi, napendekeza Zanzibar rais wake aendelee na mizinga yake 21,
Rais wa Muungani ndo Amiri jeshi mkuu apigiwe mizinga 30.
Ikija Tanganyika yenye watu zaidi ya Zanzibar ipigiwe mizinga 25!!!!!
Kwani baruti si ipo?
 
Zanzibar ni nchi, napendekeza Zanzibar rais wake aendelee na mizinga yake 21,
Rais wa Muungani ndo Amiri jeshi mkuu apigiwe mizinga 30.
Ikija Tanganyika yenye watu zaidi ya Zanzibar ipigiwe mizinga 25!!!!!
Kwani baruti si ipo?

Ha ha haha nimecheka sana! eti BARUTI seriously??
 
Back
Top Bottom