Recent content by ijoma

  1. I

    JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Habari Vya Magharibi na Kifo cha Komredi Mugabe

    Kuna vijana wanaishi South Africa ndio wanaotengeneza zile quotes. Wala siyo za Mugabe huwa wanamsingizia tu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Chuo bora zaidi kwa computer science

    MIT - USA
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni kweli mkuu. Na jana nimekula 29k kwa buku 5. Wana options nyingi sana.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nami nimefungua account Parimatch jana. Nimechoka na mbwembwe za makampuni ya kizushi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaani MERIDIAN wapo hovyo sana mpaka wanaleta kichefuchefu. Kuna pesa yangu kule kila nikiingia Website yao ni madudu tu wala hawapo hewani
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BOOOOM!!! Nilifuata mkuu. Asante
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu nakufuata kama ulinyotupia hapo juu
  8. I

    JamiiForums Tanzania Shinikizo la damu ladaiwa kusababisha kifo cha askari aliyefumania

    Umenena vema mkuu. Unajua ukiwa unawaza kuwa mwenza anakusaliti huwezi fanya hata mambo ya maendeleo. Ni busara na usalama kama mtaishi kwa kuwaziana mema.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Diva wa Clouds FM, ukikopi story JF u-acknowledge source

    Halafu watu wenye sauti nzito wapo vizuri sana katika majambo ya uwanja wa 6 x 6. Samahani kwa kuongea ukweli.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Diva wa Clouds FM, ukikopi story JF u-acknowledge source

    Hiyo ndiyo nzuri sasa
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    WON
  12. I

    JamiiForums Tanzania UDSM ni chuo dhaifu sana Afrika "Aibu kwa nchi"

    Yaani walifanya makosa sana Ardhi Institute kujitenga na UDSM
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

    Mkuu nimeshangaa aliposema mwanamke abembelezwe baada ya ugomvi hata kama kosa ni lake. Hii imekaaje hii?
Back
Top Bottom