Wakongwe ndani ya CCM tunaumia waliokuwa upinzani kuteuliwa kila kukicha

Nyox official

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Messages
613
Points
500

Nyox official

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2019
613 500
Najaribu kuangalia sura za kina Jonh mbatizaj na kipara cha zaman wanavobwabwaja huk huku wakutoka upande wa pili!hata kama n bando mnawekewa inabid ss muone inatosha kwan mtakua tu kama TP kutumika na kutupwa
 

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Messages
897
Points
1,000

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2019
897 1,000
hakuna sehemu CCM imetoa ahadi ya vyeo kwa wanachama , kutoa cheo kwa wanachama ni hisani tu zisizotarajiwa ila wana- CCM ndio wanaahidi na ndio maana kuna ahadi 9 za wanachama wa CCM na si ahadi 9 kwa wanachama wa CCM.
Utajikuta unaumia siku zote kwa kukosa cheo, ni kwa sababu cheo chochote anachotoa rais walengwa wake ni wananchi milion 55 bila kujalisha ni wa chama gani, dini gani, kabila gani, rangi gani ili mradi awe mtanzania.

Muombe Mungu akupake mafuta ya uongozi kama Daudi( kwenye biblia) naamini, nafasi yako itawekwa mbele na teuzi zinazofata utakuwa wewe
 

Brain-app

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Messages
1,740
Points
2,000

Brain-app

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2018
1,740 2,000
Hii ni Nchi yetu wote,sio ya wana CCM tu
Anna Mngwira RC Kilimanjaro

David Kafulila RAS Katavi

Patrobas Katambi DC Dodoma

DC Tunduma

Wilbroad Silaa

Profesa Lipumba

Na wengineo wengi wanaula sana wakihamia CCM.

Wakongwe ndani ya CCM tuwe wapole.

Julius Mtatiro nae kaula.
 

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
20,143
Points
2,000

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
20,143 2,000
Anna Mngwira RC Kilimanjaro

David Kafulila RAS Katavi

Patrobas Katambi DC Dodoma

DC Tunduma

Wilbroad Silaa

Profesa Lipumba

Na wengineo wengi wanaula sana wakihamia CCM.

Wakongwe ndani ya CCM tuwe wapole.

Julius Mtatiro nae kaula.
Mkimaliza hao mtahamia kwenye nani wa zamani na nani mpya.... Na hao mkishawamaliza mtahamia wewe wa kanda ipi.... Mkimaliza hao mtahamia kwenye historia ya familia, je waliwahi KUSHIKA madaraka chamani...
 

Forum statistics

Threads 1,353,887
Members 518,423
Posts 33,083,677
Top