Recent content by IIoT

  1. IIoT

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeingia Sirari Kenya, tofauti ni kubwa sana, Watanzania bado tupo fofofo

    Watu wanaokwepa uwajibikaji husingizia vitu vingi. Tangu mzee aachie madaraka, ni zaidi ya miaka 40. Kama ni maendeleo yangefanyika tu, issue sio kuweka visingizio vingi. Hata sasa mwelekeo wa nchi haujulikani, bado mtamsingizia Nyerere tena kwa nchi kutokuwa na mwelekeo.
  2. IIoT

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea

    Akili zake kama vile ziko controlled. Mara asikitike mauaji mara apongeze mauaji. Tuna kimeo Ikulu.
  3. IIoT

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ya Rais Samia ndio ya Nyerere wakati wa kupigania Uhuru kwa waislam

    Ufisadi wake huo ndo umfananishe na Nyerere? Bila kusahau utekaji, mauaji ya halaiki na utesaji.
  4. IIoT

    JamiiForums Tanzania GE2025 Machafuko 29 Oktoba 2025 siku ya Uchaguzi, Wahusika wawajibike!

    Wa kuwajibika wako madarakani kwa ushindi fake, mauaji, utekaji na ubakaji. Tanzania haitakuwa the same, tena kwa ninyi CCM mtapata wakati mgumu sana.
  5. IIoT

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenani Kihongosi: Vijana tulinde Amani na Utulivu, tusishawishiwe kuingia kwenye Vurugu na Fujo

    Serikali chini ya chama chao imeshindwa kukemea ufisadi na utekaji. Zaidi, imeshindwa kuboresha huduma muhimu za afya, maji n.k kwa wananchi. Kazi kubwa imebaki kutishia wananchi, na kutoa dharau na kejeli kanakwamba wananchi hawana mamlaka kama katiba inavyosema.
  6. IIoT

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Watekaji hawajulikani?

    Mdude na Soka hawajulikani waliko. Mzee Kibao kutekwa mchana kweupe, sijui mwelekeo wa nchi kwenye usalama wa raia ni upi. Tuhuma nzito za ufisadi kila kona, maisha ya watanzania ni magumu. Kwa kipindi kifupi taifa linakosa mwelekeo.
  7. IIoT

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Watekaji hawajulikani?

    Ndo mpaka leo hii hujulikani uliko mdau? Hatari sana, na sio sawa watanzania kuwa makatili kwa lengo la kuwanufaisha watawala.
  8. IIoT

    JamiiForums Tanzania Madeleka kufungua kesi ili ukweli ujulikane kama waliouawa Vingunguti ni panya road

    Wawe ni panya road au sio, kuna utawala wa sheria. Walipaswa kufikishwa kwenye vyombo vya sheria baada ya uchunguzi na sio kuuawa kikatili namna hiyo. Tusitumie hisia kujadili mambo.
  9. IIoT

    JamiiForums Tanzania Nimehangaika sana bila mafanikio

    Nisaidie kupata hayo mawasiliano. Naona PM yako imefungwa.
  10. IIoT

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Jinai: Rais asipoidhinisha Adhabu ya Kifo baada ya Miaka 3, Mfungwa apewe Kifungo cha Maisha

    Unafanya the same, kaua then nanyi mkaua tena.
  11. IIoT

    JamiiForums Tanzania Mohamed Salum: Mkataba wa DP World sio wa Milele

    Miradi inaisha baada ya muda gani?
  12. IIoT

    JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Akiwa Bungeni Jijini Dodoma

    Probably ameolewa na Mkurya.
  13. IIoT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni zaidi ya miezi miwili kila siku nikiamka natamani kuoa

    Uoga huo! Jukumu la kupenda ni la mwanaume, mwanamke anajifunza kupenda.
  14. IIoT

    JamiiForums Tanzania Mashimo akamatwe kwa uongo na kusababisha hasara

    Kumuamini huyo jamaa, yataka uwe wa sampuli yake pia.
  15. IIoT

    JamiiForums Tanzania CRDB network mbovu

    Fanya ku-update hiyo SimBanking App yko.
Back
Top Bottom