Recent content by ihemi

  1. I

    Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

    Na hata usipotimiza wanakuchapia vilevile...ishi nao kwa akili maana hawaridhiki na usijaribu kumuamin mwanamke zaidi ya mama yako tu...utaishi kwa amani na umri mrefu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. I

    Kikwete atema Mawaziri 60 Katika Urais Wake hadi sasa!

    Ukishangaa ya musaa utayakuta ya firauni... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. I

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ndio maisha yalivyo...huna uwezo wa kuchukua ligi msimu huu ila top four inawezekana sasa saidia ili usaidiwe... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. I

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mkuu mechi inayofuata man city watakua nyumbani ewew ndio utakuwa mgeni...vyovyote itakavyokuwa toeni hata droo tu mtakuwa mmetusaidia sana!! Tot na Chelsea wote wanakuja anfield tutalipa fadhira... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. I

    Kitanda kinauzwa 5*6

    Nicheki kwenye namba hiyo hapo mkuu tuongee Sent using Jamii Forums mobile app
  6. I

    Kitanda kinauzwa 5*6

    Hapana mkuu sijawahi kuwa na uzoefu wa kutuma mizigo mikoani...namba za mawasiliano zipo hapo juu chief unaweza nicheki tukaongea kuhusu punguzo.. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. I

    Kitanda kinauzwa 5*6

    Laki ni pesa mkuu...ungesogea kidogo ningeweza kukibeba Leo Leo kukuletea... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. I

    Kitanda kinauzwa 5*6

    Tuombe mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    Kitanda kinauzwa 5*6

    Bei 180000 Bila godoro Kipo tabata Mawasiliano 0620250321 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    Jenzi 10 mkubwa ziliozo wahi kufanywa na mwanadamu

    Pyramids????????
  11. I

    Car4Sale Toyota Prado bei sawa na bure

    Nilichogundua wengi hawajui Bei ya hizo gar an wanakuja kukuponda ili mradi wamechangia tu...binafsi labda Kama hiyo gar Ina tatizo jingine ambalo sijaliona kwenye pic ila Bei uliyoweka kwa sampuli ya Prado tx ya 2004...Bei ni sawa kabisa..BTW watu wana stress za maisha so wavumilie tu...
  12. I

    Nani mwenye historia ya John Rupia, Mwana TANU na tajiri wa kwanza mweusi mitaa ya Kariakoo?

    Sasa si ungemwambia akupe na hizo dondoo nyingine boss...maana Sisi hatumjui vizur huyo jamaa
  13. I

    Wanawake wananipa tabu sana

    Wanaume na Sisi tumezid tukizungushwa shida..ukipata voda fasta nayo unalalamika!!dunia imebadilika chief mambo ya kuzungushana wap na wap hata umri WA kuishi unazid kuporomoka huoni..
  14. I

    Vifurushi vya Chuo: Voda kama mmetuchoka Wanavyuo mtuambie

    Hayo ni kama mahusiano..kuna dalili ukiziona unajua hutakiwi sasa voda wameshakuonesha dalili zote unalalamika nini huku ..tafuta mtandao mwingine
  15. I

    Nani mwenye historia ya John Rupia, Mwana TANU na tajiri wa kwanza mweusi mitaa ya Kariakoo?

    Aliekwambia alikuwa tajir WA kwanza mweusi kariakoo ni nani!?
Back
Top Bottom