Inashangaza mgombea urais kupitia chadema Bw EL alinadi kwamba atajenga reli ya kati na Mzee Six akajitokeza na kubeza kwamba mgombea amejisahau kwamba sera hiyo ilikuwemo kwenye ilani ya ccm ya mwaka 2010 na rais anayejiandaa utoka geti la ikulu ameanza kuitekeleza nami nauliza mgombea urais...
Nashangaa kijana kuanzisha uzi wa kipuuz mmeipenda wenyewe mtateseka wenyewe ndo chama cha mafisadi ccm wanatuambia hvyo hapa mabadiliko yanaanza kwa kutoa chama kilichotutawala bila mafanikio
kigwangala bado kinda ukita umaarufu dhamin vijana wa bongo fleva ila sio kwa kuota kuwa Rais wa nchi hii labda yaani labda kunywa mafuta ya ndege ili uwe na speed ya kukufanya mwakan upeperushe bendera ya mafisad mwakan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.