Wakati mkihangaika kuihujumu,CDM, sisi tunaimarisha

Mapolomoko

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
1,751
417
Wapenda mabadiriko ote mnaombwa kuchangia ujenzi wa OFISI ya chadema jimbo la BIHARAMULO magaribi. hapozamani hatukuwa na Ofisi tulikuwa tunapanga ktk majengo ya watu, mbunge wetu MBASA na madiwani wakachanga wakanunua kiwanja jirani na kwa marehemu FARESI KABUYE (mbunge wa zamani TLP) hivyo tunataka kukarabati jengo lililopo kwani Ofisi tuliyokuwa tumepanga ilisha bomoka atakae guswa mchango autume kwa M-PESA kwa kamanda PAULO MAKENE, No.0755 910 358. au kwa muweka hazina wa chama W/Kamanda MAJARIWA MASANKARA No. 0782 803 035. taarifa hii imeletwa kwenu na mimi mwenyewe Kamanda EMMANUEL.S.KOMBA. a.k.a. mapolomoko Asanteni
 
umenifurahisha sana ulipoweka hizo no. Za kuchangia tegemea kesho mchango wangu .
 
Tupo pamoja kamanda,tegemeeni mchango wangu kesho.CDM itaendelea kujengwa na sisi wazalendo wa kweli kwani ndilo tumaini pekee la wanyonge na maskini wa taifa hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom