Walioanza na Kikwete wataondoka naye mwakani

Kawambwa atarudi tu ! Nenda Bagamoyo kaulize na ufuatilie yanayofanyika pale mjini ! Lami mitaa yote , fitna ipo pale wengi wa ccm wataogopa kuchuana na Mjomba wao Kawambwa! Aliandaliwa Riz1 sasa kapata Chalinze njia nyeupe kwa Dr Shukuru K

aliyekuambia ukiweka lami unarudi bungeni nani, watu kama hawakutaki hata uwajengee barara juu na chini watakuita mzigo tu.kama ni hivyo hata masha , gama , mbega , felix lema,, wasingedondoka.kwanza lami haweki mbunge ni dhana mbovu ya kuwadanganya watu.
 
Kawambwa atarudi tu ! Nenda Bagamoyo kaulize na ufuatilie yanayofanyika pale mjini ! Lami mitaa yote , fitna ipo pale wengi wa ccm wataogopa kuchuana na Mjomba wao Kawambwa! Aliandaliwa Riz1 sasa kapata Chalinze njia nyeupe kwa Dr Shukuru K

Fidia ya viwanja ndiyo itakayomngo'a Kawambwa!
 
Back
Top Bottom