Kuna jambo sikulitaja kwny uzi wangu. Wakati gas processing plant ya Madimba inajengwa pamoja na bomba la kusafirishia gesi kuja Kinyerezi, mradi huu ulienda sambamba na ujenzi wa processing plant nyingine kule Songo Songo. Gesi inayochakatwa na mtambo wa serikali wa Songo Songo inasafirishwa...
Ninachokiona kwny huu mjadala ni kukosa taarifa sahihi na kukosa maarifa ya kupata taarifa sahihi.
Ni hivi, kuna gas reserves katika makundi matatu. Kundi la kwanza ni gesi iliyogunduliwa miaka ya 1970s/80s kwny kisiwa cha Songo Songo kilichopo Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi. Songo Songo haipo...
Tanesco ilipeleka maombi ya kupandisha tozo la Umeme Ewura. Hii ni kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Ewura. Baada ya kupokea maombi Ewura hufanya public inquiry ambapo hukusanya maoni kutoka kwa wananchi na makundi ya kitaasisi kama vile CTI, TPSF, Mawizara, nk.
Hats hivyo Ewura ipo kwa ajili...
Jana tarehe 23 Nov. 2016 ilikuwa ni zamu ya kukusanya maoni kanda ya Dar es Salaam. Mkutano huo ulifanyika Ewura makao makuu. Binafsi nilihudhuria. Kwanza, nilitarajia kuona mania ya watu waliokuja kutoa maoni yao juu ya pendekezo la Tanesco kupandisha being ya umeme.
Kimsingi nilishtushwa sana...
Ndugu sio kila elimu lazima ufundishwe darasani. Kampuni kama imeuza hisa kwa general public hao ndio wamiliki wa kampuni husika. Sasa serikali inawajibu wa kusimamia maslahi ya wananchi wake regardless ni taasisi ya umma ama la. Labda nitolee mfano mzuri zaidi wa mifuko ya hifadhi ya jamii kama...
Sidhani kama PM kakurupuka. Ifahamike kuwa malipo yote ya TPA yalikua yakifanyika kupitia CRDB. Na, kumekua na allegations za collusion kati TPA na CRDB ambapo walikua wanaiba kupitia mfumo huo wa malipo. CAG ameagizwa kufuatilia ili kujua kama CRDB imekua ikiwezesha wizi huo. Sasa kukurupuka...
Upelelezi kwa nchi zetu hizi bado sana. Labda kwa wenzetu waliowekeza kwenye technologia ambapo hata mtu akijilipua (kujitoa muhanga) wanaweza kujua ni nani (DNA). Huku kwetu DNA ni kwa ajili ya kuhakiki watoto wa wake zetu. Mfano, yule mshukiwa wa ugaidi Paris, Ufaransa, aliyekamatwa Ijumaa...
Ndio maana nilisema utaratibu uwekwe wa kuyasimamia. Hoja yangu ilijikita kwny sintofahamu iliyokuwepo kwamba miundombinu imekamilika halafu serikali bado haijakubaliana na mwekezaji. Fikiria kama serikali isipofikia mwafaka na mwekezaji ndo miundombinu iendelee kukaa kusubiri mchakato mwingine...
Jana nilipanga leo nianzishe thread ya kushauri mradi wa DART. Bahati mbaya ama nzuri nikiwa nasikiliza magazeti asubuhi nikasikia kuhusu kuanza kwake.
Nilitaka kushauri kwamba tukiwa tunasubiria majadiliano ya nauli na mwekezaji, na kwa kuwa barabara ni yetu na sio ya mwekezaji, na kwa kuwa...
Itumbueni serikali na Bunge wana
Sidhani kama Tanesco on their own walikuwa na uwezo wa kuingia mkataba wowote bila maelekezo ya viongozi wa kisiasa. Haya mambo yamejadiliwa sana na vielelezo vimetolewa sana juu ya kuingiliwa na wanasiasa katika maamuzi ya mashirika mengi ya umma ikiwemo...
Binafsi nadhani tatizo kubwa lipo kwny service charge ambayo hata computation yake haieleweki. Kuhusu 3% ya REA wakuwalaumu ni wabunge wetu ndio waliopitisha kiwango hicho. Kuilaumu Tanesco moja kwa moja katika hili ni kuionea. Hakuna charge yoyote inayokuwa initiated na Tanesco, badala yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.