jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,643
Sijui watu wanatatizo gani?Sijui ni uvivu wa kufikiri au akili mgando!!Lakini nahisi na kiwango cha elimu pia kinachangia!!
Utakuta mtu kila mada ikitokea humu atasema wazungu ndo wamesababisha. Mada nyingi mtu badala ya kuchambua kwa kina ataishia kusema wazungu.
Ndo kusema wazungu ndo chanzo cha matatizo yetu hapa Africa?