Thamani ya gari lako ni 17M? Je ndiyo gharama halisi uliyonunulia gari? Mie nimeangalia bei za kuitoa Japan CIF ni kama 7M na makadirio ya ushuru wa TRA ni 7M ambayo inaleta jumla ya 14M. Je la kwako uliliagiza nje? Kama ndiyo, ushuru ulilipa bei gani? Nifahamishe ili nisije liagiza nikashindwa...
Ni kweli kwamba hiyo idea haiwezi kufanya kazi bongo, hata hivyo dhumuni la makala si kwamba watu wakopi alichokifanya Alfred, bali ni kuonyesha ubunifu unaweza kukupa mafanikio. Alfredi mwenyewe anasema wenye kusaka kazi watafute njia ya kuwasiliana ana kwa ana na waajiri, pengine kwa bongo si...
kwa magari ya bei rahisi angalia hapa Japanese Used Cars | BE FORWARD. Hapa unaweza kuonesha kwamba gari linakuja Tanzania ktk bandari ya Dar es Salaam na utapewa CIF (gharama ya kulifikisha gari lako bandarini Dar es Salaam. NB: sina uhusiano na beforward na wala sifaidiki kipesa kwa kuwataja...
nimekwenda kwa agent wao na kupewa maelezo kuwa TBC1 na ITV hazipatikani ingawa wanadai unatakiwa kuzipata. Tafadhali kwa wale wanaotumia tupeni uzoefu
@ CTU - biashara gani inafanywa bilia maafikiano?
Utatumaje mzigo bila ya kukubaliana pesa? Si mambo ya kuuziana mbuzi katika gunia. Kwa dunia ya sasa, nani anaweza tuma mzigo then akudai pesa baadae?
@ Saq - Mashine zinazohitajika kwa kuanzia ni kama zifuatazo, (ingawa itategemea hasa mtaji ulionao na aina ya huduma unazotarajia kutoa)
1. Dry cleaning machine - 16kg kwa kuanzia inatosha kwa population ya watu 40,000
2. iIroning table - aspiration with boiler (height adjustable)
3. Stain...
Natazamia kufungua biashara ya kufua nguo kwa hiyo nahitaji mashine kwa kazi hiyo. Tafadhali naomba mwenye kujua bei zake na mahali kwa kuzipata anipe taarifa.
Mashine ni kama zifuatazo
1. Dry cleaning machine (16kg)
2. Packaging Machine
3. Ironing table - aspiration with boiler...
Ahsante Radio Producer...
Nadhani kuna haja ya kupata waandishi kama hawa wa hapa kwetu ambao pengine tungeandika masuala haya kwa kiswahili. Nina imani kwamba watu wengi ambao hawafahamu lugha ya kiingereza wanakosa uhondo huu. Ukipita katika maduka yetu ya vitabu unakuta vitabu vya mitaala ya...
Ni kweli unahitaji kuandika business plan na mambo ya usajili ila mabenk hayatoi pesa kwa wanaoanza moja (start-ups). Ni rahisi pia kusema unaanza kwanza pale ulipo ndipo watu wakuone na kuamini kwamba wewe ni mjasiriamali lakini kuna biashara zingine lazima upate msaada wa nje ili uanze. Ndiyo...
Mie natafuta mkopo kwa wafanyakazi .... net ni kama 3.5M kwa mwezi ila mwajiri hasaidii wafanyakazi kuomba mikopo bank (kusaini MOU)... Nitashukuru kama kuna mtu atatoa taarifa ni wapi wanatoa mikopo kama hyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.