King'amuzi cha zuku

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Eti jaman naskia matangazo kwenye Radio kuhusu king'amuzi cha ZUKU wanadai eti ni kizuri halafu kina channel kama 70 hv,
kwa aliyek2mia naomba atueleze ubora wa hiki king'amuzi na jins gani kinafanya kaz JE na hicho 2nalipia kama startime? Kama kitakuwa kizuri niko mlangon kuachana na huyu mchina wa start time.!

NATANGULIZA SHUKRAN
 
Jamani najivua magamba StarTimes,nahamia ZUKU .nimependa kifurushi cha ZUKU PREMIUM cha Tsh 40,000 ingawaje naona ZUKU kama wanatukomoa kwa bei yao kuwa kubwa kuliko Kenya na Uganda.Nimeangalia mtandao wao ukilipa 92,000 unapata ZUKU TV kit na Installation,nauliza TV kit ina vitu gani,je ni king'amuzi,dish au anntena
 
kit yake ni king'amuzi pamoja na dish, hawatumii antena mpwa!
 
Mkuu,mambo yote ni DSTV full stop....hao wengine wote ni wabangaizaji tu.Kampuni za Ving'amuzi ambazo azirushi
ENGLISH PREMIER LEAGIE,kwangu mimi sawa sawa na zero....ni heri kuendelea kuwatch local chanel za bongo kuliko ving'amuzi fake
 
Ni kwa Tz nzima au Dar tu maana wengine tuko Kapumpuli

Popote pale ndani ya nchi hii unawapata ZUKU kama unalo dish hili la kawaida unalonasia chaneli hizi za local na pia umefunga lnb ya ku_band unaipata KBC1 ya kenya hapohapo ukifunga hiyo reciever ya ZUKU tayari unakuwa umewapata.
 
Mkuu,mambo yote ni DSTV full stop....hao wengine wote ni wabangaizaji tu.Kampuni za Ving'amuzi ambazo azirushi ENGLISH PREMIER LEAGIE,kwangu mimi sawa sawa na zero....ni heri kuendelea kuwatch local chanel za bongo kuliko ving'amuzi fake

Wengine hatuna uhusiano na hiyo English premier league na wala haitusumbui.
Hivi wewe wanakufahamu huko waliko hata ukashabikia hivyo? Afadhali ungenambia Tz premier league ningekuelewa.
 
mie nahitaji citizen tv na tv ya jk. Je maliPo kwa mwezi ni ngapi na unapata channel ngapi?
 
nimekwenda kwa agent wao na kupewa maelezo kuwa TBC1 na ITV hazipatikani ingawa wanadai unatakiwa kuzipata. Tafadhali kwa wale wanaotumia tupeni uzoefu
 
zuku tv unapata citizen .ubc .itv na tbc zilikua zinapatikana ila zimekata toka majuzi zitaludi zuku tv ni zaidi ya startime na ting wao ni wakali wanatumia mpeg4 risiva
 
Jamani najivua magamba StarTimes,nahamia ZUKU .nimependa kifurushi cha ZUKU PREMIUM cha Tsh 40,000 ingawaje naona ZUKU kama wanatukomoa kwa bei yao kuwa kubwa kuliko Kenya na Uganda.Nimeangalia mtandao wao ukilipa 92,000 unapata ZUKU TV kit na Installation,nauliza TV kit ina vitu gani,je ni king'amuzi,dish au anntena

jaribu hata Easy tv ni king'amuzi kizuri tu.
 
kit yake ni king'amuzi pamoja na dish, hawatumii antena mpwa!
Asante Uncle Rukus kwa taarifa ila lo mi nakaa Tandale kwa Mtogole sasa hawa mateja wakiona ungo juu sijui kama nitalala,itakuwa taabu huku wamezoe chadema ,ukiweka dish unaonekana kama wa masaki lol
 
jaribu hata Easy tv ni king'amuzi kizuri tu.
Ndugu embu nifahamishe Easy tv je tv kit yao unatumia king'amuzi na antenna au na dish na je wana channel ngapi na zipi au wana channel ngapi je hata mabonde kwinama kwa hapa Dar inashika maana niliwahi kusikia inaishi maeneo ya karibu na city centre tu
 
nimekwenda kwa agent wao na kupewa maelezo kuwa TBC1 na ITV hazipatikani ingawa wanadai unatakiwa kuzipata. Tafadhali kwa wale wanaotumia tupeni uzoefu
ajabu sasa ukichakachua Startimes unapata ITV,Star TV ya Diallo na chanel Ten zile zingine kama Emmanuel TV zimepotea ,hawa wenye ving'amuzi nao wameshakuwa taabu na ving'amuzi vyao.
 
Hivi hakuna king'amuzi kinadaka channel zote maana sebule imejaa ving'amuzi kila kona? kesho ataibuka jamaan mwingine atita manzese TV, Gomsi TV, nk. na zote ili upate unatakiwa ununue kin'gamuzi. namna gani hapa?
 
Mi kesho naenda KUZUKU hiki cha StarTimes nakitoa natoa msaada kwenye sekondari ya kata iliyopo kwenye kata yangu,naenda kuwekea weding na kufuli ili kisibebwe kupelekwa nyumbani kwa headmaster
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom