@ Saq - Mashine zinazohitajika kwa kuanzia ni kama zifuatazo, (ingawa itategemea hasa mtaji ulionao na aina ya huduma unazotarajia kutoa)
1. Dry cleaning machine - 16kg kwa kuanzia inatosha kwa population ya watu 40,000
View attachment 42877
2. iIroning table - aspiration with boiler (height adjustable)
View attachment 42878
3. Stain removing machine
View attachment 42879
4. Packaging machine
View attachment 42880
5. Industrial washing machine (16kg inafaa kuanzia) - hii ni mashine kwa ajili ya kufulia mablanketi nk
View attachment 42881
6. Domestic washing machine (16kg)
View attachment 42882
7. Wringer (8kg) - kwa ajili ya kukausha nguo
8. Compressor
View attachment 42886
9. Computer equipment (cash register, ticket printer etc)
10. Clothes rack - kwa ajili ya kuning'iniza nguo - hii unaweza itengeneza kwa kutumia local materials hapo hapo dukani
Fanya haraka umuone Mzee Mustafa Mkulo au mkewe, walikuwa na Dry Cleaner (pale Msasani ilipo Zantel sasa) kabla hajawa Waziri wa Fedha na wana mitambo yote hiyo na kwa sasa wameifungia store. Onana nae utaipata kwa bei nzuri tu, kama bado ipo mpaka leo. Jaribu bahati yako.
Fanya haraka umuone Mzee Mustafa Mkulo au mkewe, walikuwa na Dry Cleaner (pale Msasani ilipo Zantel sasa) kabla hajawa Waziri wa Fedha na wana mitambo yote hiyo na kwa sasa wameifungia store. Onana nae utaipata kwa bei nzuri tu, kama bado ipo mpaka leo. Jaribu bahati yako.
Haya bwana tumeshajua upo close na mkullo!
FAIZAFOXY- Tampataje Mzee Mkulo au Mrs.Mkulo ? ..... sisi watu wa fanyabiashara, hatu fahamiki kwa wakubwa sana.. :A S-frusty2:
mimi pia nili kwa interested to funguwa biashara ya kuosha nguo !
LAKINI, i dont have much capital to import expensive machines
Sijui machine gni ni muhimu ku anza biashara hii ???
can u guide plz ?
Hata baba'ke Mkulo nipo karibu nae wacha Mkulo.