je unakumbuka Igunga chadema walienda kwenye uchaguzi wakiwa na kura ngapi?
pia unakumbuka Igunga cuf walikua na kura 11,000 badara yake wakapata kura 2000,
kwaiyo ndugu yangu hizo namba zisikupe shida ndugu.
igunga chadema kutoka kura 0 mpaka kura 24000 na zaidi licha ya uchakachuaji ulio...
ccm wamekuja kwa mlango wa nyuma.
wanajidai wao ni cuf kumbe ni vibaraka wa ccm,
chama ambacho kinasimamisha mgombea sehemu ambayo inawaislamu wengi.sasa hiki ni chama cha aina gani?
naikubari chadema maana wao awachagui wanatwanga kotekote hiwe kwa waislamu wakristo au ata wapagani chenyewe...
sio kila aliye vaha nguo ya ccm lazima awe muokota makopo,
wengine ni njaa tu inawasumbua,ndiyomaana asilimia kubwa akili zao wamezipiga pini,
hila zao ndiyo zinazowafanya waendelehe kutawala lakini akika tumewachoka sana hao wezi.
shelia gani ya upande mmoja waanze na kikwete arafu wamfuhate na huyu jamaa.
ccm bwana mnaakili mbovu sana mbaka inafikia atu mnaona kama nchi hii ya kwenu peke yenu.sisi sote ni watanzania na kama amuwezi siasa za majukwaani kaeni pembeni.
sisi tunataka hoja kwa hoja si vitisho kama hivyo pia...
na wewe pia unaweza kuwa na utindio wa ubongo kwa kuipenda ccm!
maana hiki chama kinadhulumu uai wa watu wengi sana katika nchi hii.ndiyo maana ninasema akuna dhambi kubwa katika nchi hii kama kuishabikia ccm.
unapo shakia ccm ina maana unashabikia matatizo ya watanzania.
je kwanini unakubari...
makamanda acheni uwoga dawa ya moto ni moto moto wa wakiua mmoja sisi tunaua watano hii ndiyo dawa yao tutakuwa waoga mbaka lini.
kwanza wao asilimia kubwa ni wazee na sisi ni digital sasa kwanini tuendelee kuwa waoga!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.