Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,582
Kutokana na sababu zilizotolewa na Ali Makwilo ambaye ndio msimamizi wa kampeni za CUF Chalinze kuwa ndio atazitumia kama msingi wa pingamizi lake kwa mgombea wa Chadema , Someni majukumu ya msimamizi wa uchaguzi hapa juu.
so hii ni mbinu ya publicity kwa CUF , ili walau na wao waandikwe kwenye magazeti na hivyo ni wa kupuuzwa tu...
so hii ni mbinu ya publicity kwa CUF , ili walau na wao waandikwe kwenye magazeti na hivyo ni wa kupuuzwa tu...