Kwa Kauli hii ya CCM Kalenga, ni ukweli CCM maji ya shingo

Kwa Kauli hii ya CCM Kalenga, ni ukweli CCM maji ya shingo

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
7,730
Reaction score
5,013
Katika gazeti la propaganda la Ccm-uhuru, wameripoti leo kuwa Chadema waingiza mtambo wa kutengeneza shahada feki huko kalenga.

My take; inawezekanaje chama cha upinzani ambacho hakidhibiti daftari la wapiga kura kikaingiza mtambo wa kutengeneza shahada, la sivyo watuambie hawana daftari la kumbukumbu na tume yao ya uchaguzi.

CC: @Nape tupe ufafanuzi, ama mkiri mmezidiwa kete na wapinzani wenu.
 
Kwa mantiki hiyo CCM inakiri kuwa hata wao washawahi kutengeneza shahada feki...
 
...sidhani kama CCM(Viongozi wao,wanachama na waandishi wao) huwa wanafikiria kabla ya kutoa tamko or andishi lolote...mwingine anahalalisha uchaguzi wa watoto wa viongozi na ndugu wengine kwenye chama chao eti tu,kwa kuwa CDM nao walichaguana kindungu!
 
CHADEMA mngetulia tu, hiki ni kipindi kigumu sana kwenu!
 
Ule wembe wa 23 kwa 3 tunaugeuza upande wa pili na tunawanyoa kavu. Nawashauri mlete chopa au ndio bado hamjalipa deni la wakenya wenye chopa?
 
mchawi siyo mbaka ashike tunguli ila ni maneno yake tu utajua huyo ni mchawi.
sasa mbona ccm wanajichanganya kulikoni!
 
Ule wembe wa 23 kwa 3 tunaugeuza upande wa pili na tunawanyoa kavu. Nawashauri mlete chopa au ndio bado hamjalipa deni la wakenya wenye chopa?

usipate shida,tutatumia chopa kulinda kura zetu siku ya uchaguzi kama Arumeru!!!
 
Ccm wamwshikwa pabaya, saizi wanapanga kufanya mbinu chafu siku ya uchaguzi, ikiwa ni pamoja na kufanya mauaji, ndio maana wamewaita majambazi sugu kutoka Mwanza, taarifa zishafika polisi, pia katibu wa ccm mkoa wa Iringa katoa kauri za kuua na kujeruhi, lakini cha ajabu hajakamatwa kuhojiwa, eti wanfanya utafiti kuthibitisha, sijawahi ona ufanyaji kazi huu wa polisi, wao wanajua kumkata Mh msigwa na viongozi wengine wa Chadema tu, wa ccm hapana.
 
Back
Top Bottom