Nalazimika kwenda chalinze kushuhudia kampeni za uchaguzi.

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
244
Ivi kuna mtanzania atakaa bila kujishughulisha na kampeni za chalinze?

Kuna opportunity zaidi ya hii kwa CDM kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu wa mwaka ni?
Hapana, mtoto wa rais anagombea Ubunge chalinze, Huyu ni mtoto wa mwenyekiti wa ccm, Huyu antuhuma lukuki za kisiasa na za kimaadili na ni Huyu aliemfungulia kesi katibu Mkuu wa CDM kwa Tuhuma za kumkashifu Kuwa Ana miliki Mali alizopata kwa njia isiyo halali.

Binafsi sitaki kusubiri kuhadithiwa nini CDM wataenda kuwaambia wana chalinze, sitasubiri vyombo vya habari vidonoe habari na kuniambia nusu nusu ya Kile makamanda watakachosema chalinze, hii ni nafasi kwa CDM kuweka wazi uovu wote wa jk alioufanya na anaofanya na mwanae Huyu.

Ni lazima nielekee chalinze tena mapema zaidi ili niwahi nafasi nisibanwe. Mapambano ya kisiasa ya chalinze ni tofauti Kabisa na siasa zetu.
Ngoja niwahi nikawasikilize wanaccm wanavyomuuza mtoto wa rais kwa wapiga kura Nikiwa na mategemeo ya kuwaondoa mh. Lowasa Akija kumnadi mtoto wa rafiki yake ambae hawakukutana barabarani Huku mtoto Huyu wa rais Akiwa ameshiriki Ktk kutoa tangazo la Kuwa rais ajaye hata toka kaskazini.

naenda chalinze, atakae taka kumi ona physically aje chalinze au msoga.

Naenda chalinze.......... Noti
 
Riz kashashindwa hata ndani ya chama kashindwa katumia wanajeshi
 
Yapo majimbo yanayoongozwa na wabunge wenye magovi, Chalinze sio moja wapo katika hayo,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom