Kweli CHADEMA Yaweza Kuiangusha CCM Kalenga? Namba Hazisemi Uongo...

Wana kalenga Msifanye majaribio kwa kuwapa wapinzani jimbo lenu, Dawa ya kuenzi juhudi Alizofanya mbunge wenu Marehemu Mgimwa ni kumpa kura Kijana Mgimwa
unaijua kalenga vizuri...// mgimwa amefanya juhudi gani kalenga ambako hata nyumba ya kuishi alishindwa kujenga pamoja na kuwa waziri wa fedha?
 
kinachonishangazaga kwa wana CCM wao huwa wanaamini watashinda tu kama hao jamaa hapo juu.hii yote ni kutokana na kutegemea ushindi wa lazima,yaani kuvuruga uchaguzi,kuiba kura,kutisha wapiga kura.na aina nyingine ya hujuma.hata hivyo uchambuzi wa mwanakijiji ni wa kisayansi zaidi kuliko hao jamaa wanategemea ushindi kama wa mitishamba vile.Hata hivyo CCM bado inajivunia uelewa finyu wa watanzania wengi ktk maamuzi ya maisha yao kisiasa.kwa mfano mtu unajiuliza kulikua kuna haja gani ya kujaza wabunge wengi wa CCM bungeni ambapo tayari ina wabunge wengi zaidi kuliko vyama vingine.kwa nini watu wasibalance idadi ya wabunge wa upinzani na wa CCM ili bunge liwe linafanya maamuzi ya busara badala ya ''wanaoafiki semeni ndio,'' ''wanasema ndiooo'',wengi wameshinda'' matokeo yake mtaani tunaanza kulalamika ,kodi ya simu mbaya ,mafuta bei juu,sukari bei juu kila kitu juu.hii yote ni kiburi cha uwingi usio na faida wa wabunge wa CCM.kama ningepata nafasi ya kimungunya kuwaelimisha wana kalenga na chalinze ningeshauri kupunguza idadi ya wabunge wa CCM kwa kutowachagua yaani kuchagua wabunge wa upinzani haijalishi CUF au CDM.

Umesema vyema
 
Tanzania kwanza, ushabiki baadaye - tathmini ndogo ya CCM kwa miaka 50

1 -CCM inapunguza deni la Taifa kila mwaka na hata waziri wa fedha alishasema hatuna haja ya kukopa tena.
2 - Mikataba ya madini, gas iko juu na Tanzania inapata mrahaba wa juu kwenye kila natural resource yake - CCM hoyee
3 - Idadi ya tembo wanaouwawa na majangili imepungua sana kwa miaka ya hivi karibuni
4 - Ccm imesaidia Tanzania imejulikana kwa uuzaji wa Sembe kwa mahindi yanayozalishwa Colombia, Pakistan na kuleta wawekezaji toka Uchina na Mexico.
5 - Foleni zimepungua sana Dar na hata mikoani siku hizi miji kama Mwanza na Arusha nako hakuna foleni kabisa
6 - Uongozi wa CCM ni wa kupeana kwa kuwa sisi ndiyo wenye nchi - angalia Chalize, Kalenga na tulijaribu Kaskazini ila kidogo bwana mdogo Nasari akatushinda
6 - CCM imeboresha mfumo wa elimu na sasa hakuna kufeli tena - Div 5 hoyeee.

Kuna mengi mazuri ccm imeyafanya ila watu ni ubishi tuuuuuuuuuuuuu
 
Tatizo letu watanzania hatujielewi hata kidogo,ujinga umetuzunguka na tulio wengi akili zetu zimedumaa,hatuna uwezo wa kuchambua mambo na kufikiri barabaraa,itatuchukua muda sana kufanya maamuzi sahihi katika sanduku la kura.
Ukiwaangalia wananchi wa kalenga hali yao kimaisha si ya kuridhisha sana,je watawala wetu wamefanya nini kusahihisha hali hiyo?Je kuna aliejitokeza kuwaelekeza fursa zilizopo ili ziwainue kiuchumi?Ah mi sijui ila uamuzi wanao wenyewe,kusuka au kunyoa.
 
Sikuoni tena Joly Club sikuhizi! Hata siwasikii tena Twanga wakikurusha. Umeishia wapi jaman Mama Mingoi. Washabiki wako tunakukumbuka sana ulivyokuwa unakata mauno!
We miss you alot!

Aliimbwa sana na twanga pepeta,inaonekana alikuwa mahili sana,awapo stejiniu
 
Last edited by a moderator:
unaijua kalenga vizuri...// mgimwa amefanya juhudi gani kalenga ambako hata nyumba ya kuishi alishindwa kujenga pamoja na kuwa waziri wa fedha?

Hali ya kalenga inasikitisha ebu fikiria miaka yote hiyo ccm imeongoza pale lakini mpaka leo wananchi wanakunywa maji machafu yenye vinyesi shem on them!!
 
Ccm is stable, chadema is shrinking........................................
 
je unakumbuka Igunga chadema walienda kwenye uchaguzi wakiwa na kura ngapi?
pia unakumbuka Igunga cuf walikua na kura 11,000 badara yake wakapata kura 2000,
kwaiyo ndugu yangu hizo namba zisikupe shida ndugu.
igunga chadema kutoka kura 0 mpaka kura 24000 na zaidi licha ya uchakachuaji ulio fanywa na ccm.
sasa huu uchaguzi wa kalenga ni mraini sana kuliko ata wa igunga,sasa nyinyi pigeni kelele kwenye mitandao ya kijamii sisi tunaendelea kutoa elimu ya urai.
 
Kinachofuata ni uzi ule ule, chopa 3 kata 3

Lema ahutubia watoto kalenga

Watanzania wamegundua hadaa ya machadema, sasa wanakiadhibu ipasavyo kwenye sanduku la kura. Hata mtei ameamka toka usingizini na kukiri kuwa fukuza fukuza imekiua chama

Kama mungu yupo chadema pekee basi chadema watashinda lakini kama mungu ni wa wote chadema haiwezi kushinda kalenga wala chalinze.

kama watoto anaowahutubia lema ndo wapiga kura basi cdm itshinda "njaa" kalenga ngoja tusubiri..jpili si mbali...mnapigwa mapemaaaaaa ndege wanapoanza kuamka kwenye viota vyao chadema chaliiii

Huyu mama anadhani siasa ni kujaza kifua tu atapata shida sana jumapili waandae chumba cha kumlinda asijinyonge.

Kweli mkuu bavicha wa ajabu sana hupigiana simu wakiona uzi gongo na bangi zimeharibu vijana wa bavicha.

Timu ya kampeni ya Chadema imeenda Kalenga kutafuta ada za watoto na kodi za nyumba,.

Kwenu na baba yako ndio mshereheshaji

Ccm is stable, chadema is shrinking........................................


Hivi nyie ndugu kuna siku hata moja mnachangia hoja kwa hoja? Ni kwa nn kila wakati mnaandika kimstari kimoja tu cha kinafiki na kukimbilia kuandika kingine? Kwa nini msikusanye huu ushuzi wenu wote kwenye post moja labda tuangalie kama kuna hoja? Badilikeni nyie msipende kuwa watumwa wa kina wasira.
 
Kati ya mambo yanayotughalimu watz,ni kile kinachoitwa ngome ya chama fulani.
unakuta mtu anajiita ngome ya chama fulani ukienda kijiji husika unashangaa watu wanakuomba msaada
bila kujali wewe uko ngome ya chama gani.Kwa maelezo ya mleta uzi,kalenga imeongozwa na ccm zaidi ya miaka 10 sasa
najiuliza wanachagua sura wanachagua chama?
Nimeona na mtoto wa rais aliyeko madarakani anagombea ubunge,mtoto wa marehemu waziri anagombea ubunge
hivi kuna nini kwenye siasa? Si kilimo ni uti wa mgongo mbona hawaendi kulima.
Kama watz hatutafunguka macho tukaishia kujiita ngome huku watu wanakamua maziwa sisi tukiwashikia pembe ili wakamue tutaangamia pasipo msaada.
 
Wana kalenga Msifanye majaribio kwa kuwapa wapinzani jimbo lenu, Dawa ya kuenzi juhudi Alizofanya mbunge wenu Marehemu Mgimwa ni kumpa kura Kijana Mgimwa

Unamwenzije baba kwa kumpa mtoto nafasi ya baba wakati ni watu wawili tofauti? Hii ni ajabu sana!
 
afadhali wewe usiye na akili timamu umeandika vimistari vitatu visivyoeleweka
mungu wa chadema ambaye hajawahi kushinda akurehemu


Hivi nyie ndugu kuna siku hata moja mnachangia hoja kwa hoja? Ni kwa nn kila wakati mnaandika kimstari kimoja tu cha kinafiki na kukimbilia kuandika kingine? Kwa nini msikusanye huu ushuzi wenu wote kwenye post moja labda tuangalie kama kuna hoja? Badilikeni nyie msipende kuwa watumwa wa kina wasira.
 
afadhali wewe usiye na akili timamu umeandika vimistari vitatu visivyoeleweka
mungu wa chadema ambaye hajawahi kushinda akurehemu

Ebu soma tena ulichoandika hapo juu mstari kwa mstari neno kwa neno alafu uniambie hoja yako ni nini. Tumia akili yako kidogo uliyo nayo ya kuvuka barabara kujaribu kuelewa hivyo vimistari vyako alafu utuambie hoja yako iliyomo.

Ukiona unapata ugumu kujielewa hata wewe mwenyewe kwa kuwa umeandika kama kuku aliyekatwa kichwa soma tena huu ushauri niliokupa kabla.

Hivi nyie ndugu kuna siku hata moja mnachangia hoja kwa hoja? Ni kwa nn kila wakati mnaandika kimstari kimoja tu cha kinafiki na kukimbilia kuandika kingine? Kwa nini msikusanye huu ushuzi wenu wote kwenye post moja labda tuangalie kama kuna hoja? Badilikeni nyie msipende kuwa watumwa wa kina wasira.

Siku si nyingi utakuja kuelewa kuwa kushikiwa akili au kufikiria kwa tumbo ni kitu cha hovyo kabisa
 
Mtu katoa hoja nzito na za maana, uchambuzi makini, watu hawawezi kuchangia kwa hoja wanaongea poroja, taifa limekwisha !
 
Back
Top Bottom