Recent content by IfNot WhyNot

  1. IfNot WhyNot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

    Amesema amescreenshots akajitumia na pia hiyo simu ya rafiki yake binti ndo huwa anamsaidia kusoma texts so ina maana huyo binti ndo ameweka hiyo fonts
  2. IfNot WhyNot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela Yako kubwa kuwahi kuokota ilikuwa kiasi gani?

    Dah very interesting…kisa cha kwanza mwaka 2022 nipo geto nimetoka kuvolunteer sehemu sina HILI wala LILE, siku nzima nilikuwa nimezima simu kuna mambo yalikuwa yananivuruga sana so ile jioni nimerudi nawasha simu tu nakutana na text ya NMB! Account inayoishia namba hiyo imepokea miliona mbili...
  3. IfNot WhyNot

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Siku hizi mambo yamebadilika sio kama zamani!! Siku hizi mtu anakuwa ndani kwake na laptop yake na WiFi anafanya forex, ana bet
  4. IfNot WhyNot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ni kweli hapendi kutumiwa pesa au ni janjajanja zake?

    Wakina G sio watu wakuaamini kabisa
  5. IfNot WhyNot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa, Jana Leo Kila naegusa yupo Period, nisaidieni

    It’s so related 😂😂 hata mimi imeshawahi kunitokea ila ilikuwa kwa mademu tu sio mke!! Kwa sababu sijaoa…hadi unajiuliza is it coincidence au wameambizana😂
  6. IfNot WhyNot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti, usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa

    Mhh huyo binti wa hivyo yupo kweli??
  7. IfNot WhyNot

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

    wapo wengi sana na tena sio tu vijijini hata mjini pia, last time nimeskiliza mpira kwenye radio nikiwa town kabisa kwa sababu nilikosa access ya TV…so it’s easy!
  8. IfNot WhyNot

    JamiiForums Tanzania Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Mhh tajiri namba moja duniani ndo awe muongo muongo??? Na wanasema anaweza akawa ndio trillionaire wa kwanza duniani?? Sidhani kama unayosema ni kweli
  9. IfNot WhyNot

    JamiiForums Tanzania From series msimu wa 3 umetoka

  10. IfNot WhyNot

    JamiiForums Tanzania From series msimu wa 3 umetoka

    Na boyd hakujiuliza kabisa..yule mzee kafungwa chain mikononi aliwezaje kumrushia kamba
  11. IfNot WhyNot

    JamiiForums Tanzania Nimepata msiba wa mwanangu wa pili, ana miaka 2

    Una akili sawa sawa kweli?? Kwani Ukifiwa ndo hutakiwi kutoa taarifa..??
  12. IfNot WhyNot

    JamiiForums Tanzania Mama aliyedaiwa kufanya ukatili na video yake kusambaa mitandaoni akimpiga mtoto akamatwa

    Wewe uko na akili sawasawa mkuu??
  13. IfNot WhyNot

    JamiiForums Tanzania Matumizi yangu ya mwezi

    Upo sawa sawa kiakili kweli wewe??
  14. IfNot WhyNot

    JamiiForums Tanzania Matumizi yangu ya mwezi

    150k kwa wanaojitegemea yaan anakuja asubuh anaondoka jioni…ila kwa anaekaa hapo hapo 50k ni reasonable kabisa
Back
Top Bottom