namsikitikia sana mtatiro. nahisi atakuwa amepoteza muda na rasilimali bure kwa sababu mambo ya cuf-lipumba yako nje ya uwezo wa kamanda sirro.
hapo lazima aulize kwanza high command aelekezwe cha kufanya.
ni kituko cha hali ya juu kumlinganisha Nape na huyo ambaye katika ngazi za uongozi za ccm hakuwahi kuwa hata balozi wa nyumba kumi halafu mnampa uenyekiti wa taifa wa chama.
2020 hata apige push up kwa makalio harudi ikulu.
rudi huku tumvumilie wote, na hayo mengine uyasemee huku huku.
hatutaki umbea kutoka canada.
unataka kutuaminisha kuwa ungekuwa bado ni katibu mkuu chadema huku tz ungekuwa unamsifia Magufuli kwa kukataza mikutano ya hadhara na watu kushitakiwa ovyo kwa "uchochezi" hewa?
huo ni upinzani...
huwa najiuliza kama mke na mume na watoto mna mawasiliano ya karibu kuna haja gani kurushiana post na ku-reply na ku-like na ku-share?
kama kuna mjadala si mufanye ana kwa ana tu? kuna kuiga kwingine kwa kijinga sana. sasa mzazi ukiona post za picha za utupu za marafiki wa watoto wako utamlaumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.