Sishangai Makonda kuwekwa awe Waziri wa Mambo ya Ndani!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Magu Kutoa Msimamo Kuwa Waandishi wa Habari Kukamatwa Wakiripoti ibada ya kukabidhi Rambi rambi ilikuwa ni Makosa Anafukuzwa Kazi kama Nape alivyofukuzwa Kazi! Magufuli Ni mtu anayependa Sifa na Kukontrol watu. Mara nyingi Watu wazima na akili zao anashindwa Kuwapelekesha hivyo anaokoteza Wahuni Mitaani Madogo wasio na mbele wala nyuma Wasaka sifa na Mabishoo! Hao Ndio Mastooge wake na Mtu asiwaguse!

Hawa mastooge, wanajitoa akili na hawafuati sheria wala Taratibu za Katiba ya Nchi, Wanajifanya fyatu! The best way kuwadhibiti hawa madogo ni wakija bila kujali sheria unawakabili bila kujali sheria 10x over. Mara nyingi Waonezi ni Ma cowards, na guarantee yao ni hofu ya wanayemwonea! If you stand your ground they will start quivering like little Chihuahua! Polisi anakuja Kuwakamata kwenye Msiba! Mkisali! Wako watano na SMG mko hamsini ! Ntawaambia Kudadeki najua mmetumwa isivyo halali hapa hakamatwi mtu! Zitapigwa mkitaka mtupige Risasi, Wapige watu Risasi kwenye Msiba! Dunia itamla nyama mbwa aliyewatuma! The hell This BS must end!

Sitashangaa in Few weeks Akamteua Bashite kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Nasikia Fununu tu! Sijui hii nchi inaelekea wapi really! Na Nimeshangaa sana, Sana sio Kidogo Mtu niliyemwamini Kila kukicha anamsifia Magufuli, I wish angejua Magufuli anamdharau upeo!
 
Lolote linawezekana hata kama nafasi za ubunge zimeisha, si anavunja katiba, mtamfanya nini?
 
Atamfuta Ubunge mbunge mmoja anampeleka Ubalozini, Au kati ya hao Mastooge wake mmoja anajiuzulu Ubunge wa Kupewa anacreat space, Pia anaweza Kunyang'anya Ubunge Muhongo!
 
Muhongo MP wa kuchaguliwa, hana uwezo wa kumnyang'anya ubunge
 
Nilisema Jana CCM ita collapse from Within mkabisha, Chonde chonde Magufuli mpe Makonda Uwaziri wa Mambo ya Ndani haraka Wapinzani Watanyooka! Please do it!
 
Kesho tunampokea Mkuu wa mkoa wetu ndani ya TABATA KINYERezi akitufungulia soko karibuni saana.

Mbunge CCM wenyeviti na Diwani UKAWA.
 
Back
Top Bottom