Recent content by idungusi

  1. idungusi

    JamiiForums Tanzania Natafuta line ya M-Pesa na Airtel money

    Nenda ofisini,rahisi ni ghali sana,watu washalia sana mkuu
  2. idungusi

    JamiiForums Tanzania Arusha i am in town

    Tukutane bogaloo NJIRO jioni tukujuze jiji
  3. idungusi

    JamiiForums Tanzania Yule mwizi wa ATM ndo huyu

    Mbona hii ni post ya mwaka 2013?
  4. idungusi

    JamiiForums Tanzania Nyalandu kumjulia hali Lissu: Aitwa kwenye kikao cha Maadili cha chama kujieleza

    Ubaguzi ni mmbaya,,,,mkimaliza kuwabagua wengine,mtaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe.alisema Baba Wa Taifa
  5. idungusi

    JamiiForums Tanzania We mwanaume unikome!

    Nimekupenda bure
  6. idungusi

    JamiiForums Tanzania We mwanaume unikome!

    Akuambiaye una kibamia jua amekutana na kubwa zaidi
  7. idungusi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite

    Tangu saa kumi na mbili watu wamekaa chini wanasubiri Rais afike,naona jukwaa liko vizuri lakini uwanja ni mdogo sana
  8. idungusi

    JamiiForums Tanzania Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Tekno Y6 inakata ghafla net ya line zote mbili na wakati mwingine inazimika yenyewe mpaka utoe betri uiache kama DKK tano Hivi ukiweka betri unawasha inawaka,pia kuna wakati inastop application zote.tatizo ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. idungusi

    JamiiForums Tanzania Kaja anatafuta dawa ya Misoprostol, nikamuuliza unaumwa nini, kala kona

    Shule zimefugwa na miso zinauzwa KWA wingi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. idungusi

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimejaribu punyeto, kumbe ni tamu kuliko mwanamke

    Tatizo shule zikifungwa tu watoto wanaingia humu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. idungusi

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

    Ajitokeze mwanamke anijaribu na Mimi aje apost hapa matokeo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. idungusi

    JamiiForums Tanzania Zijue faida 5 za kulala uchi (naked)

    Kulala uchi kiafya ni vizuri sana,sema kutokana na maisha tunayoishi inabidi angalau uvae nguo nyepesi ili hata ikitoea Dharura usiku uweze kuishughulikia Sent using Jamii Forums mobile app
  13. idungusi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Ukiwa kahaba umechagua kufa mapema pia kufa KWA maumivu makali Sent using Jamii Forums mobile app
  14. idungusi

    JamiiForums Tanzania Daktari: Singh Sethi amewekewa puto tumboni, asipopelekwa hospitali atapoteza maisha

    Bado wana haki ya kuishi na wana haki ya kupata matibabu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom