Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
Tena PIN inahifadhiwa kwenye ki- note bookAnaitwa Lusajo nani? Tusake picha zake na kumuanika! Wanaotetea humu ni wezi wenzie, pili ujue mambo ya teknojia ndugu zetu wengi hawaijui! Mwalimu anakuja mjini ATM mwisho wa mwez tu, je atajua kuna wizi mjini