huyo tumkwapue haraka arudi home na tumpe kitengo chenye maslahi bora kwenye hospitali zetu, wamarekani hawachelewi kumbembeleza achukue uraia wao ili awe mmarekani afanye kazi hukohuko atibu watu wa hukohuko. aje atibu watz na afundishe watz wafike alipofikia yeye.
pale kigali mwaka huu yamepoa sana. nimeamini tz mpira unapendwa watu huwa wanajaa, lakini huko kwingine naona viti vitupu vingi sana. labda jana tu wakati APR na ATLETICO wanacheza.
my dad had a dream to have me, na mimi ni wa mwisho katika watoto nane, true story! seven sisters, and i am the last born only begotten brother. na mama yangu ndio alikuwa anafunga uzazi kwangu.
kidunia inavunjika, lakini kibiblia yaani kiroho haivunjiki hadi kifo kiwatenganishe au Yesu aje. kwahiyo ukitaka kuishi kidunia na kupinga mafundisho ya Bible ni wewe tu, kuna njia mbili ya kwa shetani pana sana na ya kwa Mungu ni nyembamba kwasababu inahitaji watu waliojisacrifice. ya shetani...
You are very right. Hata katika kitabu cha malaki imeandikwa Mungu anachukia kuachana. ukiona unaachana tu ujue Mungu anachukia kitendo unachokifanya. na kama ukiachana basi usioe au kuolewa tena hadi mmoja wenu afariki kifo kiwatenganishe. bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI
ndoa ni muungano wa watu wa wili kiroho lakini ukija kidunia lazima registration iwepo ndipo itatambulika na sheria, ama la kama registration haipo na kuna mtu anataka kudhulumiwa mfano katika kugawana mirathi au mali basi presumption of marriage imewekwa na sheria kumuokoa. kama hakuna wa...
katika maisha usiangalie wanadamu, wanadamu ni maua na upepo tu. MWANGALIE MUNGU yeye ndiye aliyekuhifadhi hadi leo hii, na yeye ndiye anayetoa riziki kwa wanadamu. hata wanadamu wakutenge namna gani, hata wakikuwekea vizingiti namna gani KAMA MUNGU AMEWEKA TIKI KWAKO utakuwa na bright future...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.