Recent content by idrismbwambo

  1. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Wewe umewahi ona adui anakufuata halafu ukageuka kumfuata yani adui yuko nyuma yako halafu ugeuze tena Sent using Jamii Forums mobile app
  2. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Mahujaji 35 wafariki Makkah

    Hakuna anaeweza kuzuia kifo isipokua mwenyezimungu mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  3. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa vyombo vya habari Upanga Dar es Salaam

    Yakwenu yamewashinda ya vyama vingine mtayaweza malizeni matatizo yenu kwanza ndo mzungumze yawenzenu
  4. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Asanteni Maafisa bandari, siku nyingine mkitengeneza sinema mkumbuke kubandua plate number

    Na nikipi kinachoifanya isiwe ni yenyewe
  5. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Watanzania watakiwa kumuunga mkono Rais Magufuli

    Tatizo aliingia madarakani akiwa kila kitu anakishangaa
  6. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Pamoja sana mpiganaji
  7. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Nchi ni yakwetu sote hakuna mwenye hati miliki ya nchi hii
  8. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Makonda hakuvamia, ila alipeleka 'footage' ya tatizo la maji CLOUDS

    Kama mlikua nae mbona hukuonekana acha kutufanya watanzania ni mambumbu wewe
  9. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Wewe ndo mgamga njaa Zaidi kwanin usimshauri atoe vyeti ili aondoe utata
  10. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Mkulu nimeshindwa kuelewa kauli zake ipi ni sahih kati ya ile ya kwamba aliombwa na wazee akachukue fomu na hii ya jana ya kua hakuwahi kishauriwa na mtu yeyote kichukua fomu aliamua mwenyewe!!!!!
  11. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tuache tuwe wadaku na wambea. Hatuna jinsi!

    Umbea wetu utajulikana 2020 hapo ndo tutajua ushauri wetu unapokelewa au laa
  12. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Kama wanaCCM tunaamini hatukufanya kosa, basi siku yaja ambayo tutaamini

    Kama wakiwa na upeo wakufikiri wataelewa kwa wasomi walishaelewa siku nyingi na mfano mzuri ni kile walichokifanya Arusha kwa Mh Rais wa TLS Lisu, wasomi hawaburuzwi tatizo ni wale wasiojua nyuma wala mbele na humu tunawaona wanavyoshabikia vitu vya kijinga wasivyo vielewa
  13. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Mashaka makubwa kwa uongozi wa awamu ya tano

    Kitu kinanifurahisha ni kwamba tunakoelekea hawa vibaraka wa ccm wanaoshabikia bila kujua nyuma wala mbele wataelewa na mambo yataenda pouwa sana
  14. idrismbwambo

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari(MAT) watofautiana na Serikali juu ya kupeleka madaktari nchini Kenya

    Napenda mh Rais aendelee na msimamo huohuo mpaka 2020 kutoshauriwa,kutopangiwa, kuamua kila kitu yeye kutowasikiliza wadau na wazee wote wa chama nitafurahi sana kazi itakua nyepesiiiii
Back
Top Bottom