Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Habari wakuu!
Mwanzoni nilikuwa miongoni mwa watu walishiriki kuwashambulia waoinzani pale walipoonesha walakini wao dhidi ya chaguo letu ( lejea maneno LA Lissu, Lena, mbowe, sugu, kafulila, zitto n.k)
Hii ilitokana na kutambua kuwa kwa upinzani ni kawaida yao kuja na hoja za kila aina ili kuuaminisha umma kuwa serikali ya chama changu haifanyi kazi.
Lakini kadili Siku zinavyokwenda nazidi kuona mabadiliko ambayo yananipa walakini juu ya chaguo letu maana sielewi elewi vile.
Na kama kuwa wanachama wenzangu bado hawajaamini kuwa tulifanya kosa basi nawapa muda kidogo wataamini kuwa tilifanya kosa kubwa sana na inaweza kutugharimu katika kusahihisha kosa hilo kwa pengine itahitaji gharama ya halo ya juu.
Mwenye akili na afahamu