mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Akizungumza na JAMHURI, mmoja kati ya watu wa karibu wa Makonda, amesema kilichotokea katika kituo cha matangazo cha Clouds, ni jambo la kushangaza kutokana na ukweli kupindishwa kwa makusudi.
"Tulipita pale clouds tukitokea kwenye ziara ya Mkuu wa Mkoa, tulikwenda kuangalia matatizo ya maji huko Tegeta na Bunju, kwenye ziara hatukuwa na mwakilishi wa kituo hicho, hivyo ikashauriwa tuwapitishie 'footage', baada ya hapo tukaondoka.
" Nashangaa maana Makonda alikuwa kwenye kituo hicho cha matangazo siku ya jumanne, aliondoka pale usiku wa saa Tisa, alikuwa hapo kusimamia utengenezwaji wa kipindi maalumu cha mwaka wake mmoja katika wadhifa wake, hilo halijasemwa....wanarusha hizo clip," kimesema chanzo chetu.
Chanzo: JAMHURI machi 21-27,2017 ( Uchunguzi wa Bashite...Ukurasa wa 11)