Recent content by Idiot Embicile

  1. Idiot Embicile

    Aliyewadanganya kuwa ukipima Covid-19 Tanzania basi ukisafiri kwenda Nigeria haiwezekani ukakutwa nao ni nani?

    Si tumeshaelewana Mkoko, Makambo, Kibwana na Feisal wana Covid mbona mnatuchanganya?
  2. Idiot Embicile

    Nimeamini Laana zipo, heshimuni wazazi na wanaukoo mlikotoka

    Inajichanganya wapi? Au wewe ndio unajichanganya?
  3. Idiot Embicile

    Nimeamini Laana zipo, heshimuni wazazi na wanaukoo mlikotoka

    Kuna familia ya mjomba wangu imeishia pabaya sana. Najitahidi kuamini vinginevyo lakini akili yangu inaniambia ni laana. Mjomba wangu alikuwa ni msomi wa Ph.D na alikuwa na pesa kama uchafu. Majumba, magari na miradi mingine kibao. Alikuwa na mke na watoto watano wa kike wawili na wa kiume...
  4. Idiot Embicile

    Mpango wa new world order

    Nashangaa ambao huwa wanaamini hizi takataka.
  5. Idiot Embicile

    Je, mimi ni introvert au extrovert?

    Hela hazijawahi kutosha, mbona Bill gates hajaacha kutafuta.
  6. Idiot Embicile

    #COVID19 Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

    Wivu tu. Mbona Miss utalii nae kuna wasiwasi kama alichanjwa.
  7. Idiot Embicile

    Je, mimi ni introvert au extrovert?

    Tafuta hela wewe, mambo ya u-introvert na u-extrovert hayatakusaidia lolote. Anyway, kuna hawa wanaitwa ambivert, hawa wanakuwa na sifa zote za u-introvert na u-extrovert.
  8. Idiot Embicile

    Hatua za kuchukua kumsaidia mtu aliyeanza kupoteza uwezo wa kusikia na kupata ukiziwi:

    Mbona umetoa maelezo shallow sana. Kiziwi namba moja na namba mbili na namba tatu maana yake nini na tofauti zao ni zipi?
  9. Idiot Embicile

    Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

    Binafsi namfahamu mhindi mmoja tu personally, nilisoma nae (classmate) sekondari. Alikuwa mshikaji wangu, shabiki kindakindaki wa Chelsea, alitusimanga sana mashabiki wa Arsenal enzi za Wenger. Kusema na ukweli jamaa alikuwa mtu poa sana na mtu wa watu.Siku moja moja amenitoa sana misosi ya...
  10. Idiot Embicile

    Watanzania tunapitia kipindi kigumu kiuchumi kuwahi kutokea

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Jiwe nae aliajiri Walimu kama mara mbili hivi. 2017 aliajiri walimu wa sayansi na 2019 kipindi cha uchaguzi aliajiri walimu 8000.
  11. Idiot Embicile

    Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

    Thanks Popoma. Umewachana vilivyo na mondo zilizotukuka kabisa.
Back
Top Bottom