Asilimia 99 ya wanaomshambulia Paula wamejaa unafiki, chuki na wivu

Sio kila mtu umuonyeshe hadharani.

Rayvan anachomfanya Paula chumbani hakuna asiyejuwa .
Sasa kuna haja gani ya kuutangazia umma?
Kama sio kuwafundisha uhuni watoto wetu?..

Aache ushamba.
Wewe ndio mshamba kuchukia mtu na mpenzi wake wakiishi maisha yao.
 
Wewe ni chawa na mpuudhi mnabaki kushangilia mambo ya kipuudhipuudhi tu.
Kwa taarifa utaendelea kusifia hao wapuudhi wenzako milele mpuudhi mkubwa wewe na mshenzi usiyefaa kuishi kwenye jamii ya kistaarabu.
Watu wanapotosha jamii hadharani wewe unawasifia mpuudhi mkubwa wewe
Na utaendelea kuwa chawa milele
We kiwavi jeshi Tu na mkwara wako size ya mende
 
Mnhhhh this is sad,nikikumbuka story yangu mwenyewe na relate na wasichana wanaoingia kwenye mapenzi kwenye umri mdogo nahuzunika zaidi, kwa kifupi ukiwa msichana uko kwenye vulnerable position, akili na mwili havijawa matured enough ku handle relationship na uki break up jinsi Utakavyo suffer emotionally ni mbaya na inaweza ku last life time, Angalia wote walioanza mapenzi umri mdogo kama hata wana long relationship??? hawawezi kukaa kwenye committed relationship sababu wamekua damaged emotionally , they are left confused, ningekua Kajala ningemprotect mwanangu sio kumuachia ulimwengu uumfunze,its a cruel world
Utamkataza vipi mtoto asipende na asipendwe wakati ni mtu mzima anajua kila kitu eti embu acha kuassume vitu bwana
 
Ni ujinga hao wanaosema hivo watoto wao wa kike wako primary na wanafumuliwa vibaya mno na bodaboda sasa kipi bora mzazi ujue mwanao ana mtu au vijana wengi wasioeleweka wawe wanamfumua fumuuuu. Isitoshe umri unaruhusu kajala yuko sawa tu.
Wanamwonea wivu Paula wakti watktk kama Bawa wanafumuliwa Na waendesha maroli ya mchanga
 
Back
Top Bottom