Recent content by Idhae

  1. Idhae

    JamiiForums Tanzania Basi gani la mkoani ulipanda ukajutia?

    Tuanze na wewe
  2. Idhae

    JamiiForums Tanzania TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Muhimu gari ikiharibika barabarani alama ziwekwe mara moja ili watumiaji wengine waone. Hata kama speed ni 80 kishindo chake cha kugonga lazima kitaleta madhara tu. Mimi kwa uzoefu wangu wa kusafiri na mabasi, sidhani kama yanaspidi kali sana kushinda magari ya serikali au magari ya watu...
  3. Idhae

    JamiiForums Tanzania Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Simu aina gani
  4. Idhae

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded NHIF watumie mfumo wa fingerprint scanner kutambua wanufaika/ watoto badala ya kusumbua wazazi

    Kumbe huruhusiwi kumkatia bima mtoto unayemlea wewe ambaye sio mtoto wako wa kumzaa?
  5. Idhae

    JamiiForums Tanzania Mvua maeneo ya Dar es Salaam, sitashangaa kusikia watu wanalalamika

    Kwani mbunge wa kawe anasemaje
  6. Idhae

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Sienta

    Vp ulaji wake wa mafuta
  7. Idhae

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ist no DNW kwa 9.3mil only

    Toyota isis napata kwa bei gani nkutafte
  8. Idhae

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Vifurushi vya mitandao Tanzania: Je, tutarajie nini?

    Kodi kwa maendeleo
  9. Idhae

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

    Bado mahakamani, wanalambaga kuanzia 10 hadi 20 na haina risti. Kwa wale wasio na vyeti vya kuzaliwa
  10. Idhae

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali ndo kamaliza kutueleza maana ya SADC?

    Kwani ni timu ya taifa ya nchi gani?
  11. Idhae

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaocheza nje na hawapo Taifa Stars wafukuzwe?!

    Si hizo timu zinazosajili wageni wasio na viwango zitafungwa kisha zitashuka daraja? Au timu zote zinazoshiriki ligi kuu zimesajili hao wageni?
  12. Idhae

    JamiiForums Tanzania Tumeshiriki AFCON ili sababu za kukitaa chama fulani cha siasa ziendelee kuongezeka

    Bao tatu za nguvu
  13. Idhae

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujaribu kuwa na shukrani japo kidogo..

    Tungeshinda shukran zingeenda kwa awam ya tano
  14. Idhae

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kununua tv flat screen, ni brand ipi bora kwa sasa?

    Mr uk. Hutajuta
Back
Top Bottom