Tumeshiriki AFCON ili sababu za kukitaa chama fulani cha siasa ziendelee kuongezeka

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
36,259
Points
2,000

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
36,259 2,000
Wanaofikiri na kuwaza kwa mapana ndio watanielewa.

Mungu anawapenda sana wadanganyika na anaendelea kutumia uwezo wake kuhakikisha mkoloni mweusi anaondoka ofisini kwa wakati aliopanga yeye.

Ni hivi,haya hayatokea kwa bahati mbaya, bali ni kwakuwa Mungu kawanyima maarifa ili waendelee kuharibu kila mahali ili mwisho wa siku wakataliwe kila mahali na kila mtu(waendelee kuonekana hawafai)

Hata jana kabla ya mechi,nilitoe comment yenye ujumbe kama huo hapo juu kwenye heading nikichangia uzi mmoja uliotaka timu yetu ifungwe(uzi ule baadae sikuoona tena) ingawa sijui kama nilieleweka ila kwa yanayoendelea mitandaoni baada ya mechi,nahakika nilikuwa sahihi tena sana.

Mungu ana mbinu nyingi ambazo kwa akili ya kibinadamu sometimes sio rahisi kuziona/kuzielewa

Koroshow,kushambuliwa kwa Lissu,matendo ya watu wasiojulina na mengineyo mengi huenda ni Mungu kayapanga ili tu waendelee kuchukiwa na ndio maana hata Lissu ka-survive-sidhani kama wengi mtanielewa.

Kumbukeni ni Mungu pia aliyeruhusu hata mwanae mpendwa asulubiwe ili kutuokoa wanadamu.

Ni lazima waendelee kufanya makosa ili wengi zaidi wawakatae na makosa yenyewe ndio haya.
 
thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
5,971
Points
2,000

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
5,971 2,000
Wanaofikiri na kuwaza kwa mapana ndio watanielewa.

Mungu anawapenda sana wadanganyika na anaendelea kutumia uwezo wake kuhakikisha mkoloni mweusi anaondoka ofisini kwa wakati aliopanga yeye.

Ni hivi,haya hayatokea kwa bahati mbaya, bali ni kwakuwa Mungu kawanyima maarifa ili waendelee kuharibu kila mahali ili mwisho wa siku wakataliwe kila mahali na kila mtu(waendelee kuonekana hawafai)

Hata jana kabla ya mechi,nilitoe comment yenye ujumbe kama huo hapo juu kwenye heading nikichangia uzi mmoja uliotaka timu yetu ifungwe(uzi ule baadae sikuoona tena) ingawa sijui kama nilieleweka ila kwa yanayoendelea mitandaoni baada ya mechi,nahakika nilikuwa sahihi tena sana.

Mungu ana mbinu nyingi ambazo kwa akili ya kibinadamu sometimes sio rahisi kuziona/kuzielewa

Koroshow,kushambuliwa kwa Lissu,matendo ya watu wasiojulina na mengineyo mengi huenda ni Mungu kayapanga ili tu waendelee kuchukiwa na ndio maana hata Lissu ka-survive-sidhani kama wengi mtanielewa.

Kumbukeni ni Mungu pia aliyeruhusu hata mwanae mpendwa asulubiwe ili kutuokoa wanadamu.

Ni lazima waendelee kufanya makosa ili wengi zaidi wawakatae na makosa yenyewe ndio haya.
Rubbish
 
Forum statistics

Threads 1,367,044
Members 521,649
Posts 33,385,953
Top