Recent content by IDFakenyingine

  1. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania (TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

    Kwa picha lilivyo, inawezekana watoto sio wake na jamaa aliligundua hilo!
  2. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaendesha takataka na si magari

    Yeye ni mwendesha baiskeli tu, zile phoenix wanazofanya daladala huko kwao..,😁 ila aliskia watu wajinga kijiweni kwao wanajadili magari akaona hiyo mada na yeye aje nayo huku! Msameheni tu!
  3. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Benki Hutumia Pesa Zako

    Na kuna Greenland Bank miaka ya mwanzoni mwa 2000, nadhani mambo ya kufilisika mabenki nchini hawa ndio walikuwa waasisi! 😁😁
  4. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

    Mkuu inaonesha unapenda sana mabishano!
  5. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Kama sharia za kiislamu ziko hivi; naomba wasiruhusiwe kuwa na mahakama ya kadhi

    Mkuu kwani wewe unawapenda wezi? Huku mtaani raia wanawachoma moto wakiwa hai... yaani hata hiyo kukata mkono ni cha mtoto! 😁
  6. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

    Hizo clips za zamani kabla Waleed hajawa sheikh wa mkoa, kipindi hiko Alhad Musa ndo alikuwa sheikh wa Dar.
  7. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Kama sharia za kiislamu ziko hivi; naomba wasiruhusiwe kuwa na mahakama ya kadhi

    Kabla ya kujifanya unahurumia wengine, jihurumie kwanza wewe kwa kuacha wizi.., tukikuthibitsha na hatia ya wizi tunakata huo mkono bila huruma! 😁
  8. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sheikh Walid atuhumiwa kukimbiwa mtoto

    Wametenguliwa masheikh watatu, lakini midomoni amewakaa Shk. Waliid tu... nyie watu nyie, hii dunia tunapita tu!
  9. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na Kijiji kisha Kupewa Shamba!!

    Kwa story hizo ulizozisikia huko kijiweni kwenu, Mzenga usije.., hata hicho kidogo ulichokidunduliza kwa malengo wahuni watapita nacho hautaamini!!!
  10. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Sijamwelewa Lema, anasema anasubiri maazimio ya Kamati Kuu, iwapo hayataeleweka atalazimika kujitetea binafsi

    Ilikuwa kila alichosema kiliitwa unabii, what happened..?!
  11. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

    Wabongo wanaishi kwa mahaba, sio uhalisia wa mambo! Hawataki kukubali mambo yamebadilika ! Muda ndio msema kweli daima!
  12. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

    America ya Kusini na middle East wameanza kutumia gari za Kichina kwa miaka kadhaa sasa na wamezikubali. Hapa hapa Bongo kuna Cherry gari za Kichina ambazo ukinunua wanakupa warranty ya miaka 10 au 1 million kilometres, hiyo warranty huipati hata kwa mjapan unaponunua gari mpya! Kuna brands...
  13. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Masasi wa Chaumma kuchuana na Emmanuela wa CCM kumrithi Lukuvi jimbo la Isimani

    Huyo Daudi Masasi ni tapeli mmoja mzee wa fursa!
  14. IDFakenyingine

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

    Pambana ujitoe kwenye umasikini,.. ukiwa umejipata, utagundua kuwa maisha binafsi ya watu na mambo yao hayakuhusu kabisa! Nakusisitiza kijana; Tafuta hela!!
Back
Top Bottom