Recent content by iddi mbaraka

  1. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Niliahidi kumkopesha Ex, sijampa/sitompa namtesa tu

    Au nasema uongo ndugu zanguuu
  2. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Niliahidi kumkopesha Ex, sijampa/sitompa namtesa tu

    Cyo utoto hawa viumbe wana maudhi sana mkuu
  3. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Niliahidi kumkopesha Ex, sijampa/sitompa namtesa tu

    Wewe ni mm kbsa mkuu kisasi changu kwa x wangu hakiishi Nna kesi kama hiyo yako namzungusha kila day ili nimkomeshe ajue na yy dunia duara aliniacha kwa dharau sana sa hv mungu anamuonesha na yeye😂😂😂😂
  4. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Haya tuliyofanya zamani; Je, ni dalili za ushirikina au ndio mila na destruri zilidumishwa?

    Bondi akilia jirani na makazi bas hilo eneo atakufa mtu
  5. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro, watu kadhaa wabanwa na gari la mizigo

    Poleni sana wana morogoro iv morogoro kuna nn hasa ajal kila leo tu
  6. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Mchumba aliyeua na kujiua Ilala, chanzo picha za utupu

    Kbsa mkuu wakome wasaliti.......
  7. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Kipande gani safarini huwa unakifurahia uwapo barabarani

    Kahama to kakonko via nyakanazi rod
  8. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Leo wife kanikuna sana kwa ujumbe wake huu

    Captain philips
  9. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma wanaotaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Kikuu Dar es Salaam(UDSM)

    wakuu hizi nafasi unaomba ata kama siyo mtumishi wa umma au kwa watumishi wa umma tu plz naomba kufahamishwa asanteni
  10. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Sitokuja kuomba kazi tena UTUMISHI

    Kwa hili naungana na wewe mkuu utumishi wana watu wao wamewanga tayari kwetu wanatupotezea muda tu
  11. iddi mbaraka

    JamiiForums Tanzania Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

    nisaidie ndugu yangu cjui lolote nimeitwa katika usaili kwa mara ya kwanza kupitia tume ya ajira serikalini asante
Back
Top Bottom