Kipande gani safarini huwa unakifurahia uwapo barabarani

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Tupeane uzoefu katika Tanzania yetu hii na dunia kwa ujumla. Mara nyingi huwa tunasafiri katika kutafuta mahitaji yetu mbali mbali ndani ya miji yetu, mikoa na hata nje ya nchi.

Hayo ya kukwea mapipa wengine hatujayaonja, tunayaona tu kwenye mamuvi. Hivyo wacha nizungumzie kuhusu suala lililopo ndani ya uwezo wangu katika safari nayo ni mabasi ya abiria.

Leo Niko safarini kutoka MBEYA kuelekea CHALINZE.

Hua mafurahi sana nikipita maeneo ya Mto Ruaha pale. Ukishamaliza kushuka kitonga Hadi unaikamata miku mijini.

Kipande kile bwana nakipenda Sana mandhari yake na gari jinsi inavofunguka.

Hebu twambie ni sehemu gani unaielewa zaidi unapo safiri?
 
kwenda moro dar ukiwa na private car kula lunch ile restaurant pale msolwa filling station so relaxing alafu mule ndani unakutana na ma VIP tu nishakaa meza moja na mawaziri wawili tukawa tunapiga story kama wanachi wa kawaida tu
 
Hiyo restaurant ndio ile ukitokea chalinze mbele kidogo ipo upande wa kulia?
 
1.Kipande cha Ubena zomozi to Mwidu ukitokea Chalinze to Moro,kuna mahali pamenyooka unajiachia kwa afya sana pale.
2.Kama unatokea Dom ukiweka kituo Cate Hotels pale Morogoro maeneo ya Kingolwira,hutojutia,hasa ukiwa nje kwenye ile miamvuli panavutia sana.
3.Dom to Babati....
 
Tupeane uzoefu katika Tanzania yetu hii na dunia kwa ujumla. Mara nyingi huwa tunasafiri katika kutafuta mahitaji yetu mbali mbali ndani ya miji yetu, mikoa na hata nje ya nchi.

Hayo ya kukwea mapipa wengine hatujayaonja, tunayaona tu kwenye mamuvi. Hivyo wacha nizungumzie kuhusu suala lililopo ndani ya uwezo wangu katika safari nayo ni mabasi ya abiria.

Leo Niko safarini kutoka MBEYA kuelekea CHALINZE.

Hua mafurahi sana nikipita maeneo ya Mto Ruaha pale. Ukishamaliza kushuka kitonga Hadi unaikamata miku mijini.

Kipande kile bwana nakipenda Sana mandhari yake na gari jinsi inavofunguka.

Hebu twambie ni sehemu gani unaielewa zaidi unapo safiri?
Kutoka makuyuni kutafuta geti la ngorongoro patam sana
 
Back
Top Bottom