Recent content by Idaty

  1. I

    Mbunge wa jimbo la Ubungo na jimbo la Kawe ni wachumba?

    hata kama kwel mbona fresh tu, au we roho inakuuma.???
  2. I

    Tuwe Makini wasichana tutadanganywa mpaka lini??

    Hata usikubal shoga yangu, mchunie 2 angekuwa na nia nzur angekwambia tangu mwanzo kuwa anakupenda ingawa ana mke, ww ndio u decide. Pole mwaya utampata wako il uwe unalala na kuamka nacho.
  3. I

    Mke wangu amenisaliti kwa ushahidi wa mazingira, nifanye nini?

    Pole kaka, ckuhzi uaminifu baina ya wapenz nimdogo sana. Pia lov distance ndio imemtesa sana, huyo mkeo ameshachakachuliwa chakufanya mkapime muendelee na maisha. Sina hakika kama nawewe huko daslam uko safe bila kimwana. Tofaut nikwamba umemgundua ila ajakugundua so inaweza ikawa ngoma droo kaka.
  4. I

    Mpenzi kujua ratiba yako!!

    Mawasiliano ktk mapenz ni muhimu lakin isiwe too much, itakuwa karaha nakugombana. Sio mpnz naenda kubath, naenda toilet, baby naenda darasan, mpnz naenda kula duh had kero.
  5. I

    Utamu wa public car!!

    Mh! Unapenda mafuku wewe.
  6. I

    Wanawake wanajua kudeka we acha tu!

    Yaan nikwel kabisaa hata mie nimelishuhudia hlo mwanamke anahtaj kuongea na mumewe, bt mwanaume anajfanya yuko busy kutafuta kaz
  7. I

    Hakuna rafiki wala ndugu wa kweli duniani

    Ndio maana wanasema binadamu tumefanana nywele.
  8. I

    Nimemkuta yu mjamzito!

    Ni mke wa ndoa au g. Friend?
  9. I

    ......Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Eid

    Hiyo inamaanisha kuwa, cku ya Eid wazaz wanajitahd cku hyo kuandaa either chakula cha pekee kwa familia ili kushirik pamoja cku hyo ndio nafasi pia kwa mkaidi kufaidi, kwa sababu kutakuwa na wagen kwa hyo itakuwa ngumu kwa mzaz kusema lolote mbele yawagen.
  10. I

    Barakatil Eid wana JF

    Minalfaidhina ukiona kimya ujue sina.
  11. I

    Hivi fikra zangu zikinituma kuwa alikuwa ni kahaba zitakuwa kimakosa?

    Pole, hana jpya huyo dawa usipokee cm zake, aktumia no. Nyingine ukigundua ni yeye unakata cm, atachoka tu.
  12. I

    Maajabu !! Jamani huyu shemeji yangu ni vipi?

    Huyo halmashaur ya kichwa yake ime be disturbed, aende hosptal haraka iwezekanavyo.
  13. I

    Mchumba anapokuonyesha shughuli nzito siku ya harusi............

    Hahahaha, aisee hyo kali bt ndio vizuri
Back
Top Bottom