Hakuna rafiki wala ndugu wa kweli duniani

khaaaaa! nilitarajia utabembeleza kumbe umenipa laiv? ama kweli upendo umepungua.

halaf Lizzy mbona haonekani au ile posa yake ishakubaliwa?

nipe rushwa nikubembeleze. Lizzy yupo busy, acha ujumbe.

Pole sana gaga, namshukuru Mungu kwa upande wangu nimejaliwa marafiki na ndugu wengi tu wanaonijali, mie nina roho ndogo sana sipati picha niwe ninaumwa rafiki au ndugu hata mmoja asinijali.....ningeumwa mara mbili, maybe tujiulize na sie why inakuwa hivo, labda sio washiriki sana kwa shida kama tunavojielewa wenyewe... mie humu pia nina marafiki wachache ila nikikosekana tu wiki nakuta PM zao, kwa kweli unaweza sema si kitu bali it means a lot kwenye maisha ya kila siku kujua kuna mtu/watu wanakubali/jua uwepo wako mahali fulani ni wa maana ni hali ya kawaida kwa kila binadamu

nipe rushwa nikubembeleze. Lizzy yupo busy, acha ujumbe.
Rushwa haiombwi hazarani bana!

To Lizzy.......

"yaani Lizzy sioni umuhimu wa mimi kuwepo JF bila wewe, nimejarib kujilazimisha kula lakini skuweza nimetapika, halaf nikilala usingizi haukuji sku za mwanzo nilizani kunguni lakini kumbe sababu ni wewe! ningejiuwa lakini nimenunua TV mpya majuzi tu nipe muda niifaidi kidogo, ningeandika zaidi lakini kila nikiikaribia full stop na machozi yanaongezeka,"

From klorokwini
c/o Husninyo

wengine ni marafiki kwa marafiki zetu,

by the way huwezi jua nani kutokana na ukweli halisi ulio ndani ya mioyo ya watu................

jiulize kama hakuna rafiki wa kweli au ndugu wa kweli wewe tukuweke kwenye kundi gani?

huenda wewe unadhani hakuna rafiki wa kweli kwa vile na wewe sio rafiki wa kweli kwa wengine...........

Well said umeua kabisa mkuu.

Wakwe zako vipi mbona wamekupa mme mwema leo unawageuka?
Hivi ulikuwa hujui shost? mie nilijua sina rafiki kipindi cha harusi yangu wale nilioamini kuwa ndo marafiki tungeshilikiana pamoja walikaa pembeni wakiniangalia ,rafiki wa kweli naona ni mme kababy kangu na wazazi...

Rushwa haiombwi hazarani bana!

To Lizzy.......

"yaani Lizzy sioni umuhimu wa mimi kuwepo JF bila wewe, nimejarib kujilazimisha kula lakini skuweza nimetapika, halaf nikilala usingizi haukuji sku za mwanzo nilizani kunguni lakini kumbe sababu ni wewe! ningejiuwa lakini nimenunua TV mpya majuzi tu nipe muda niifaidi kidogo, ningeandika zaidi lakini kila nikiikaribia full stop na machozi yanaongezeka,"

From klorokwini
c/o Husninyo
Lizzy bf wake amefungulia si unajua mwezi mzima walikaa mbali jana na leo malipizo kesho ataibuka tu!!!hahahaaaaaa

We have to be thankful for what God,has given us..instead of complaining all the time........
pole gaga wangu but just mshukuru Mungu unaendelea salama, niliku pm kitambo lakini

Jamani mwenzenu nimejifunza kitu kikubwa na ningependa kushare na nyie wenzangu. Katika dunia hii hakuna ndugu wala rafiki wa kweli. Katika rafiki zako wote ulio nao 99.9% si wakweli na ukitaka kujua ni wakati una matatizo kama kufukuzwa kazi, kusimamishwa na kuugua wewe mwenyewe. Na katika ndugu zako ulio nao 98% siyo ndugu wa kweli ukitaka kujua vigezo navyo ni hivyo hivyo au subiri watoto warudishwe shuleni kwa kukosa ada.

Mimi sasa hivi ndugu zangu ninaowaamini ni watoto wangu na mama yangu, kidogoooooooooooooooo na mume/mke. Ogopa sana wale marafiki unaokula nao maisha huwa hawafai kabisaaaaaaaaaaaaaaa. Binafsi nimepunguza marafiki kwa 99% likewise na ngugu

Mbona umechelewa kujua hilo..!

Hata hivyo Hongera umeshakombolewa toka kwa utumwa mamboleo wa nidhamu ya woga kwa jamii ambayo unajua msaada wake kwa maisha yako ni bahati nasibu! Lakini nidhamu yako ya woga kwa hiyo jamii ilikufanya uwe mtumwa.. sasa huko huru..baada ya kujua hakuna rafiki wala ndugu wa kweli duniani...Tumaini nafsi yako na Mungu wako!

Kaka hapo umenena,hamna haja ya kujipangia maisha.
Mungu anapanga,timiza wajibu wako mengine mwachie yeye.

Kuna rafiki yangu alinisumbua kiasi cha kuathirika kimasomo lakini nilipiga moyo konde ,baadaye nilielewa kwa nini ilikuwa hivyo.

Do not be too demanding,mfano Mother THERESA aliwasaidia wahindi lakini hakuwalazimisha kuwa wakristu,limwachia Mungu yote hayo.

Jamani mwenzenu nimejifunza kitu kikubwa na ningependa kushare na nyie wenzangu. Katika dunia hii hakuna ndugu wala rafiki wa kweli. Katika rafiki zako wote ulio nao 99.9% si wakweli na ukitaka kujua ni wakati una matatizo kama kufukuzwa kazi, kusimamishwa na kuugua wewe mwenyewe. Na katika ndugu zako ulio nao 98% siyo ndugu wa kweli ukitaka kujua vigezo navyo ni hivyo hivyo au subiri watoto warudishwe shuleni kwa kukosa ada.

Mimi sasa hivi ndugu zangu ninaowaamini ni watoto wangu na mama yangu, kidogoooooooooooooooo na mume/mke. Ogopa sana wale marafiki unaokula nao maisha huwa hawafai kabisaaaaaaaaaaaaaaa. Binafsi nimepunguza marafiki kwa 99% likewise na ngugu

kwani wewe mwenyewe unaaminika?

Similar Discussions

Back
Top Bottom